Ujumbe wa aliyejiua kisa penzi la Monica (mke wa Masanja). Chunguzeni wake zenu

Ujumbe wa aliyejiua kisa penzi la Monica (mke wa Masanja). Chunguzeni wake zenu

Kuna watu huwa wanasema ukiwa na pesa pia na umaarufu ndani yake mke wako hawezi chepuka. Asa imekuwaje jambo hilo kwenda tofauti ?
Hakuna kitu kama hiko. Hawa viumbe hawajui wanataka nini. Hao matajiri wanaoingoza duniani wake zao WA naomba talaka eday.
 
Nimeiona huko Twitter, inasemekana Katibu wa Kanisa la Mchungaji Masanja amejiua na kuacha waraka mrefu unaoeleza kuwa, alikuwa na mahusiano na mke wa Mchungaji wake Masanja, na kwamba penzi hilo limeelekea kufa, hivyo Katibu ameshindwa kuvumilia.
Huyo jamaa atakuwa muhehe tu!! Yaani unaibia penzi la watu halafu unataka kujenga kibanda!!??
 
Kuna watu huwa wanasema ukiwa na pesa pia na umaarufu ndani yake mke wako hawezi chepuka. Asa imekuwaje jambo hilo kwenda tofauti ?
Haya mambo usiyaamini sana,utapasuka kichwa.
 
Taarifa hii inasambaa kwa kasi sasa hivi baada ya kuripotiwa kuwa katibu wa kanisa la Masanja mkandamizaji amejinyonga na kuacha ujumbe wa kwamba asamehewe kwani alikuwa anatembea kimapenzi na mke wa mchungaji Masanja.
Ujumbe huo umeshitua wengi kwani mke wa Masanja ni mtulivu sana.View attachment 2374737
Masanja yuko USA anawezaje kuwa kwenye kipindi Bongo?

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
Kuna binadamu Duniani hawahitajiki kuzikwa,ingelitungwa Sheria ya wanaojiua kuchomwa moto...
 
Back
Top Bottom