REJESHO HURU
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 4,664
- 9,929
Inasemekana hata wale watoto siyo wake ni WA marehemu eti wanasema😂😂 masanja lazima awe chizi kw amda hili ni tukio baya sana kisaikolojiaUsikute masanja hana nguvu za kiume !! Jiulize mkewe mpaka anaamua kugawa penzi nje , ni nini alikosa kwa masanja? Pesa ipo, anakula vizuri,analala vizuri, hajui nyumba ya kupanga,usafiri mkali kanunuliwa ,nguo za bei kali n.k?? Nini alikosa kama sio mjegeje?