Ujumbe wa aliyejiua kisa penzi la Monica (mke wa Masanja). Chunguzeni wake zenu

Ujumbe wa aliyejiua kisa penzi la Monica (mke wa Masanja). Chunguzeni wake zenu

Usikute masanja hana nguvu za kiume !! Jiulize mkewe mpaka anaamua kugawa penzi nje , ni nini alikosa kwa masanja? Pesa ipo, anakula vizuri,analala vizuri, hajui nyumba ya kupanga,usafiri mkali kanunuliwa ,nguo za bei kali n.k?? Nini alikosa kama sio mjegeje?
Inasemekana hata wale watoto siyo wake ni WA marehemu eti wanasema😂😂 masanja lazima awe chizi kw amda hili ni tukio baya sana kisaikolojia
 
Usikute masanja hana nguvu za kiume !! Jiulize mkewe mpaka anaamua kugawa penzi nje , ni nini alikosa kwa masanja? Pesa ipo, anakula vizuri,analala vizuri, hajui nyumba ya kupanga,usafiri mkali kanunuliwa ,nguo za bei kali n.k?? Nini alikosa kama sio mjegeje?
Yawezekana ni Moja masharti ya huo uchungaji wa mwendokasi alioupata
 
Usikute masanja hana nguvu za kiume !! Jiulize mkewe mpaka anaamua kugawa penzi nje , ni nini alikosa kwa masanja? Pesa ipo, anakula vizuri,analala vizuri, hajui nyumba ya kupanga,usafiri mkali kanunuliwa ,nguo za bei kali n.k?? Nini alikosa kama sio mjegeje?
Embu tupe mkasa mzima wacha kutupa kwa mafungu.
 
Mwenye picha ya mke wa Masanja aweke hapa
images (12).jpeg
 
Yaani anavyojisifiaga na nkewe .Yaani watu wanaojianika huku mitandaoni kuwa wanapendana ni uongo mtupu.Reality nyuma ya pazia ni machozi tu. Refer Emmanuel na Flora Mbasha. Kuna interview yao moja walisema wana hadi bank account moja. Kumbe kiukweli ndoa yao ilikuwa machungu tu.
Mweee...tatizo watu awataki ukweli kiwa binadamu hatujaumbiwa kutulia na mtu mmoja
 
Hakuna kanuni ya kumtuliza mwnamke hawa watu mara nyingi huwa wanapagawa zaidi na kile ambacho mwanaume wake hana na ukweli ni kwamba hakuna binadamu mwenye kila kitu.. ukiwa na kazi utagongewa na jobless ukiwa jobless utagongewa na mwenye kazi, ukiwa mfupi utagongewa na mrefu ukiwa mrefu utagongewa na mfupi, ukiwa na pesa utagongewa na masikini ukiwa masikini utagongewa na mwenye pesa, ukiwa maarufu utagongewa na ambae sio maarufu usipokua maarufu utagongewa na mtu maarufu, ukiwa na kitambi utagongewa na mwenye six pscks ukiwa na six packs utagongewa na mwenye kitambi
Nini solution ya hili tatizo mkuu?
 
Back
Top Bottom