Ujumbe wa aliyejiua kisa penzi la Monica (mke wa Masanja). Chunguzeni wake zenu

Ujumbe wa aliyejiua kisa penzi la Monica (mke wa Masanja). Chunguzeni wake zenu

Wazazi wamepata hasara ,nahisi huyo kijana ndio alikuwa anajifunzia kula mbusumbusu ukubwani
 
IMG-20221002-WA0006.jpg
 
Huyo katibu wake ndio aliejinyonga?. Nimesoma juu juu kumbe kisa ni hiki?. Hebu kilete kwa upana mkuu. Wengine hatujui vizuri ilikuwaje
 
Sana Mkuu maana nakumbuka hata mie ulishawahinipata nilienda kutafuta nikawa mbali na mke wangu huku nyuma akaanza kufanya yake nakijana mmoja hapo sikubahatika kumuona lakini nilikuja kujua baada ya yule kijana kuposti mke wangu Facebook akidai usingizi wake na mie baada ya kuona hivyo nikamuuliza yule kijana vipi mkeo au nini kijana akajibu ndio mke wangu ndipo nilianza kufuatilia zaidi kumbe yule kijana hajui kuwa huyo ni mke wa mtu na alishaambiwa tumeachana na ana mtoto mmoja wakati mke wangu ana watoto watatu na mtoto wa kwanza yuko la sita ajabu huyo kijana hakuelewa lolote, mie kistaarabu niliamua kumwambia kijana achana na mke wangu maana mie sipo tayari kuwatafutia mama mwingine wanangu kisa wewe ajabu yule kijana hakuwa na adabu alianza kurusha matusi hakika iliniuma sana ndio maana vijana wanaangamia kizembe mtu akikusihi kuachana na mke wake anakutaka mema huenda na yeye ashatambua kosa lipo pahala gani, vijana tuwe makini maana hata mie wake za watu nishatumia sana tu hivyo sioni ajabu nikisikia unampiga wangu kikubwa nisijue "Utaumia "
Bila shaka kuna jambo lilimkuta
 
Bora kitumbua changu nikigawe nje ya jf
Humu siku mkigombana mtu hashindwi kuja na kupost papa langu likiwa na zivu
Hahaha eti papa langu🤣🤣🤣🤣
Wee gawa huko nje bwana ila muhimu unamuwakilisha shetwaiin vilivyo
 
Back
Top Bottom