amu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2012
- 16,132
- 31,149
Hivi whatsapp story ndo whatsapp status?Kama alimwandikia huyo Monica ili asije kuiona mitandaoni kwa mara ya kwanza, so nani kavujisha.
Je ni Monica?
Huu ni uzushi tu
Inasemekana alituma whatsapp story baada ya kumtumia Monica na Monica hakujali wala kumjibu.
Embu nieleweshe kuhusu wazap stori na wazap status