Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pia hawa mastaa na matajiri huwa na mambo mengi ya ushirikina asije kuwa kamtoa Kafara huyo katibu!!! Ili.ku boost biashara zakeMasanja Simpendagi tu..na sina sababu yoyote ila kwa hili kwa kweli anapita kwenye hard time..halafu tucheki scenarios mbili...
1.inawezekana masanja aligundua huu uhusiano akaupiga pini
2.Na baada ya kuupiga pini ndani ya mwezi akaamua kumaliza mchezo kabisa
Katibu mkuda tu hana loloteHatari sana Sasa katibu si angeondoka kimya kimya Ndio nini kuharibiana
Nakazia. Na imaandikwa mtu akikupiga shavu la kushoto moe la kulia. Sasa Masanja angempatia mwamba kiburudisho chakeMasanja mbona ni mtu wa watu!Angemuachia mke.Sasa kakimbilia kaburini?Marehemu ni idiot!
Uongo mtupuKama ujumbe aliutuma kwa Monica mbona Sasa upo mtandaoni?Ina maana Mrs Pastor karuhusu hii siri owe hadharani?
Ishomire mambo?Sijawahi. Mimi ukiwa hauna PhD wala sikutamani. Mimi huwa natamani ma Prof wenzangu tu.
Yeah sure,itafikia hatua wanaume wote mtaonekana hamnazo🙄Kuchafuana tu
Jina la kanisa lenyewe mhhh. Ngoja watu wa feel free
Ukomavu huu
Kwako Nandy ni mzuri [emoji1][emoji1][emoji1]Demu mwenyewe mbaya tu halafu ana matege.Je angekuwa kama Nandy ingekuwaje? Jamaa mpumbavu kabisa.
Kuna asilimia nyingi za uzushiAmependa mke wa mtu [emoji2]
Ila najiuliza mama mchungaji nae alikuwa anacheat ama
Kwa hiyo kitanda chako kinalaliwa na degree sita tu? Kiukweli nisiwe mnafiki wanawake wenye degree tatu na kuendelea huwa mna utelezi wa kutosha.Sijawahi. Mimi ukiwa hauna PhD wala sikutamani. Mimi huwa natamani ma Prof wenzangu tu.
🤣 Tutasikia mengi sana.Alafu kulikuwa na tetesi before kwamba mke wa Masanja alikuwaga demu wa Mpoki zaman kabla ya Masanja kumuoa. sijajua ukweli wake upoje.
Kweli naamini uzuri wa mtu upo machoni pa muangaliaji. Mimi namuelewa sana mke wa masanja.Kwako Nandy ni mzuri [emoji1][emoji1][emoji1]
Ungekuwa umekutana nae live ungefuta hiki ulichoandka!
Kamanzi kafuuuuupi
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Duh inaonekana mke kaolewa na jamaa kisa pesaAlafu kulikuwa na tetesi before kwamba mke wa Masanja alikuwaga demu wa Mpoki zaman kabla ya Masanja kumuoa. sijajua ukweli wake upoje.
Hebu fikiria ujumbe unasema ,nimeona huu ujumbe nikutumie wewe usisome toka mtandaoni,Sasa huku mtandaoni umefikaje Tena??Ina maana msukuma kautuma mtandaoni?Sasa tuhuma hii atathibitisha nani?
Mwendazake aaminike au ni kuchafuana tu?
Tusiwe tunapokea taarifa yoyote na kumeza tu, tujaribu kuchakata
KarmaNeno moja la kumfariji Masanja mkandamizaji baada ya kugongewa sana mkewe na aliyekuwa katibu wa kanisa lake.