Ujumbe wa aliyejiua kisa penzi la Monica (mke wa Masanja). Chunguzeni wake zenu

Hivi nilikuwa wapi leo ndio najua hizi mambo?
 
Lakini nimepata Huzuni, ile Video hawakurekodi HD bhana...
iko low quality hadi nimeboeka[emoji24][emoji24][emoji24].
 
Wwe tunasema hili swala umeliangalia au umeliwaza kijasusi zaidi!! Hongera sana Mkuu!!
 
sasa jambo la msingi kwenye suala hili ni kwa wale wote wenye taarifa sahihi au viashiria vya kutendeka kwa kosa kutoa taarifa kwa Jeshi la Polisi ili kama kuna watu au mtu walio husika kutekeleza mauaji hayo wachukuliwe sheria.
 
Mimi Kama mtaalam wa forensic...huo ujumbe kwa asilimia kubwa hakuandika Marehemu Bali umeandikwa kwa malengo maalumu....
Nahitimisha kwa kusema huyu marehem ameuawa..
Baada ya kuuwawa, wauwaji wakachukua simu na kuandika ujumbe huo kwa lengo la kupoteza ushahidi na kuusambaza....
 
Wengi hawaoni upande huo kiwa huyu kijana ameuawa...hayo maandishi Yana gapes nyingi kuonyesha sio marehem aliyeandika hujimbe huo..
O KUFICHA USHAHIDI
 
Siwezi nikamuua mtu halafu niandike ujumbe nijitaje mimi na mke wangu kwenye huo ujumbe.

Masanja kwa hadhi aliyokuwa nayo hawezi kuwa na akili mbovu kiasi hicho coz anajua kabisa atajiharibia kibiashara na hata kiuchungaji.

Ngoja tuone.

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Au ni watu wengne tu wameona wamuangushie zigo Masanja, inawezekana pia. Shughuli ipo hapa.
 
"Mapensi mapensi.. mabaya mabaya" 🙌 in Sarah_tz voice
 
Mbona sijaona sehemu iliyoandikwa hivyo au kuna ujumbe mwingine?
 
Sahv ndoa ni utumwa tu

Kwanza huwa nawashanga watu wanaofunga ndoa sahvi

Kuna uwezekano mkubwa huyo mke wa masanj alikuwa hamfeel jamaa(masanja)
Yuko naye kwa sababu ya umaaruf na vijisenti tu

Ova
Eti mavikao makubwa, sherehe kubwa, ukumbi wa kifahari, garama kubwa ya harusi. MC wa bei mbaya, na mengineyo kisha kuna mden****e mmoja anakuja kukugongea mbususu yako kiulaini kabisa.

Nimeanza kukubaliana na ule usemi wa jamaa unaosema ukioa mke si bikra umeoa mke wa mtu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…