moyafricatz
JF-Expert Member
- Nov 27, 2015
- 2,904
- 4,902
"Mshahara wa dhambi ni MAUTI "
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mi nimewaza hicho kitu
Lakini nimepata Huzuni, ile Video hawakurekodi HD bhana...Mara kadhaa tumeshauriwa Kuchunguza wake zetu mienendo yao, Hali sio nzuri kila sehemu watu wanagegedana sio mchezo. Chini hapa ni ujumbe wa kijana aliyekua anatoka kimapenzi na bibie monica ambae ni mke wa Masanja;
"...UJUMBE wangu wa Mwisho kwako MONICA
Asante Kwa kunipenda Kipindi chote hakika umenipa Upendo ambao umeacha alama moyoni mwangu ambao kila nikijaribu kuifuta nimeshindwa sioni upendo wako wa Mwanzo hivyo nimebaki Kuumia MOYONI kwa kukosa
REAL LOVE FROM YOU. MONICA Ulinipenda sana na Kuniahidi kutoniacha siku zote na Ahadi zako nilizipokea MOYONI Nami Kukuahidi Kukupenda sana na hii ndo INANIUMIZA SANA MONICA Asante kwa PENZI LAKO ambalo halijawahi kutoka MOYONI MWANGU[emoji24] SIONI TENA HAJA YA KUISHI KWENYE HII DUNIA
BILA PENZI LAKO NASEMA SIWEZI[emoji24]
MONICA SAMAHANI kwa MAAMUZI nitakayo yafanya NAJUA uamini kama naweza kufanya hivi kwa sababu ya PENZI Lako BUT NAOMBA upelewe kua umefanya nione THAMANI YA MAPENZI katika huu ULIMWENGU kupitia wewe so SIWEZI KUISHI BILA PENZI LAKO,
SIONI TENA MAANA YA MAISHA [emoji24]. MONICA, Inawezekana huu ni UJUMBE WANGU wa Mwisho kwako pia acha DUNIA nzima itambue kua nakupenda sana MONICA na nimeshindwa kuishi bila WEWE.
Najua Familia yangu, Marafiki zangu na Mama yangu mzazi UTAUMIA juu ya hili lakini nisamehe sana Mama YANGU [emoji24]. Naju Unanipenda na Mimi nakupenda Mama.
MONICA NAKUPENDA SANA and I'll miss you so much. YOUR LOVE, YOUR TIME AND YOUR MOMENT [emoji3590] Bye KIOSHO.
KULIKO UKAONA UJUMBE HUU KWENYE MITANDAO YA KIJAMII BORA NIKUTUMIE WEWE, Uje yaliyo moyoni Mwangu na ukiweza kunitibu kwa ule upendo wako wa kwanza nitakua mzima ila ukipuuzia hii basi UTANIPOTEZA na huu ndio utakua UJUMBE WA MWISHO KWANGU.
Wwe tunasema hili swala umeliangalia au umeliwaza kijasusi zaidi!! Hongera sana Mkuu!!Bongo kesi za mauwaji zinapangwa na kuamuliwa mitandaoni na vijiweni wao hospital wanatoa cheti cha Kifo tu
Sababu zinaandikwa jinsi alivyokutwa tu KAJINYONGA basi imetoka hiyo mtu anazikwa
Hapa kama ni devil [emoji48] advocate I don't believe all this vipi kama wamesuka auwawe na kula njama hizi?
Inakuwaje jamaa yupo kwenye Twitter tu all day wakati ni tatizo kubwa hili?
Mimi naangalia tofauti na wengine kabisa
Liambie kwa kwenda sio unalifukuza tu, au lije kwa mkeo?Pepo toka katika jina la yesu muachie Monica nasema Pepo toka
Ungependa ufe kifo gani nawe siku ukifika,maana utakufa tu kwa hili.Wengi tunakula wake za watu
Wake za watu watamu mi karma ita nn itaniadhibu ila kukamatwa si rahisiUngependa ufe kifo gani nawe siku ukifika,maana utakufa tu kwa
Una uhakika Massanja hana hela? Marring the wrong person ndo balaa linaanzia hapoManara kakazia vijana tutafute pesa.
Wengi hawaoni upande huo kiwa huyu kijana ameuawa...hayo maandishi Yana gapes nyingi kuonyesha sio marehem aliyeandika hujimbe huo..Huo ujumbe umeaachwa kwenye simu whatsapp au kwenye karatasi?
Huyo mama yake yupo?
Huyo bwana hana mtoto au ndugu mwingine kipenzi au mke ukiachana na mama mzazi? Mbona hajamtaja hapo mwisho?
Wamefahamiana tangu lini na masanja na mkewe?
Nahitaji nivute mawasiliano yao kwenye mtandao...
KUNA KILA DALILI HUYU MTU KAUWAWA... ILA HUYO MUUAJI ANA AKILI ZA KITOTO KUCHEZA MCHEZO WA KITOT
O KUFICHA USHAHIDI
Au ni watu wengne tu wameona wamuangushie zigo Masanja, inawezekana pia. Shughuli ipo hapa.Siwezi nikamuua mtu halafu niandike ujumbe nijitaje mimi na mke wangu kwenye huo ujumbe.
Masanja kwa hadhi aliyokuwa nayo hawezi kuwa na akili mbovu kiasi hicho coz anajua kabisa atajiharibia kibiashara na hata kiuchungaji.
Ngoja tuone.
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Usimuweka Jumong kwanye sentensi moja na vitu vya kijinga kijingaMapenzi ni hatari zaidi ya upanga wa jumong
Kanisa linaitwa Feel Free Church.But why kaamua kuweka LV kanisani [emoji848]
Mbona sijaona sehemu iliyoandikwa hivyo au kuna ujumbe mwingine?Ameandika monica(msukuma wa masanja)
Masanja humwita hivyo mkewe na monica ukiingia page yake insta anajiita msukuma wa masanja so bila doubt wa kwenye meseji ni yeye,ila sasa kama ni kweli au si kweli hapo marehemu ndo katuweza🤣🤣🤣🤣
Eti mavikao makubwa, sherehe kubwa, ukumbi wa kifahari, garama kubwa ya harusi. MC wa bei mbaya, na mengineyo kisha kuna mden****e mmoja anakuja kukugongea mbususu yako kiulaini kabisa.Sahv ndoa ni utumwa tu
Kwanza huwa nawashanga watu wanaofunga ndoa sahvi
Kuna uwezekano mkubwa huyo mke wa masanj alikuwa hamfeel jamaa(masanja)
Yuko naye kwa sababu ya umaaruf na vijisenti tu
Ova