Ujumbe wa aliyejiua kisa penzi la Monica (mke wa Masanja). Chunguzeni wake zenu

View attachment 2374767

Mchungaji kaona hili ni jaribu na litapita tu
[emoji1787][emoji1787][emoji3]Hapo mkewe anawaza ntapata wapi tena mwingine WA kunisugua... Huyu masanja Hana jambo.
.
.
Mchungaji kaamua kujikaza tu. Ila moto ni mkali..... We kanisa linaitwa feel free church halafu tushangae katibu kula mama mchungaji[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji41][emoji41]
 
Usikute masanja hana nguvu za kiume !! Jiulize mkewe mpaka anaamua kugawa penzi nje , ni nini alikosa kwa masanja?

Pesa ipo, anakula vizuri,analala vizuri, hajui nyumba ya kupanga,usafiri mkali kanunuliwa ,nguo za bei kali n.k?? Nini alikosa kama sio mjegeje?
 
Ndiyo Ukweli Wenyewe
Nasema Uongo Ndugu Zangu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kamaa huwaa mnadhani kuwaa kina mama wachungaji huwa hawagawii njee polee Sanaa..hao wamama hawafai tena wanachepukaga jumlaa kbsaa.

Nina rafiki yangu ni mama mchungajii anafanya Mambo ya aibuu mnoooo..I feel sorry kwa mume wakee aiseeeeee ni aibuu..sijashangaa kbsaa kwa huyoo mkee wa masanjaaa
 
Nikijaribu kujitafakari hili Jambo kwa macho ya rohoni,naona Kuna namna Nuru na giza hazichangamani ndio maana Kuna mambo lazima yawekwe nuruni.

Hili kabisa la masanja watu tumekuwa na maswali mengi namna ya jinsi linavyoendeshwa,Ni Kama uhuniuhuni na usela na dhihaka, hebu lakini hatujawa na majibu Sahihi hivyo Kuendelea kuwa watazamaji...Kuna mambo Mungu anataka kuonyesha ili uwepo wake udhihirike kwetu,hebu fikiria kabisa linaitwa FEEL FREE,yaani kuwa unachotaka!

Monica na marehemu waliamua kuwa free...kikubwa nilichojifunza Mungu yupo anatuangalia tu janjajanja zetu Ila akiamua kukuacha hata kwa seku de Mambo yanabadilika ghafla.

Sasa bado huyo mchungaji mwenyewe ngoja siku moja adakwe pale Abudhabi na kamzigo
 
Mtulivu kwenye picha
 
Atakuwa mjinga sana; angekuwa anatembelea ule uzi wa pisi kali, angeweza kujua dunia imejaa warembo wa kila namna.
 
Huwezi jua huko ndani. Ikute huko Ndani Masanja ni katili sana. Halafu Masanja huwa anasafiri sana. Ikute pia yeye Masanja ana michepuko mingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…