Ujumbe wa aliyejiua kisa penzi la Monica (mke wa Masanja). Chunguzeni wake zenu

Ujumbe wa aliyejiua kisa penzi la Monica (mke wa Masanja). Chunguzeni wake zenu

Kuna mchezo, time will tell...alipokiwa ana date nae Monica si alikuwa ameolewa?? Kwa nn aingie Mazima??
Hii nchi ina vijana wa ovyo sana
 
Haya ndo mambo wabongo tunayaweza. Nani anaweza thibitisha haya. MTU kafa
 
Kuchapiwa Kuna uchungu jamani.
We kusikie tu kwa mkandamizaji.
 
Kama ujumbe aliutuma kwa Monica mbona Sasa upo mtandaoni?Ina maana Mrs Pastor karuhusu hii siri owe hadharani?
Ujumbe katuma katuma kwa Monica na rafike zake wengine kabla hajajijua
 
Nikijaribu kujitafakari hili Jambo kwa macho ya rohoni,naona Kuna namna Nuru na giza hazichangamani ndio maana Kuna mambo lazima yawekwe nuruni....Hili kabisa la masanja watu tumekuwa na maswali mengi namna ya jinsi linavyoendeshwa,Ni Kama uhuniuhuni na usela na dhihaka, hebu lakini hatujawa na majibu Sahihi hivyo Kuendelea kuwa watazamaji...Kuna mambo Mungu anataka kuonyesha ili uwepo wake udhihirike kwetu,hebu fikiria kabisa linaitwa FEEL FREE,yaani kuwa unachotaka!Monica na marehemu waliamua kuwa free...kikubwa nilichojifunza Mungu yupo anatuangalia tu janjajanja zetu Ila akiamua kukuacha hata kwa seku de Mambo yanabadilika ghafla....Sasa bado huyo mchungaji mwenyewe ngoja siku moja adakwe pale Abudhabi na kamzigo
Feel Free is a literal translation of church age know as Leodacia (Rule of the people; democracy: choices of the people etc). Leodacia is a church age documented in the book of Revelation. Other church ages are Symnarr; Pegamus; Thyatyra and three more.

According to the book of Revelation, each church age has her own characteristics. Leodacia age is dominated by democracy i.e.rule of the people (humanism). That means, people are no longer interested in God's guidelines of life. Further, people "feels free" to do what they feel is of their great interest. No respect for family (marriage), among other practices that do not please God Almighty.

Masanja anajua maana ya Feel Free. Amejaribiwa kwa kipimo cha uelewa wake. Acha tuone anafanyaje.

The newly elected Italian Prime Minister has vowed to fight Leodacia'n practices. Behold, it's awesome to follow what she is going through in that fight.
 
Sasa hivi hakuna upendo kuna COMMITMENT msichanganye hivi vitu Mwanamke commited hawezi mcheat mume makundi yafuatayo hayana commtment

1. washika dini (wanapenda kumsingizia shetani)
2. Wanaoishi kwa mtindo wa 50 50
3. Wanaoamini sana kwenye mapenzi
4.Wanaomwacha mwanamke atawale familia
5. Washamba (wasio na exposure)
 
Hakuna kanuni ya kumtuliza mwnamke hawa watu mara nyingi huwa wanapagawa zaidi na kile ambacho mwanaume wake hana na ukweli ni kwamba hakuna binadamu mwenye kila kitu.. ukiwa na kazi utagongewa na jobless ukiwa jobless utagongewa na mwenye kazi, ukiwa mfupi utagongewa na mrefu ukiwa mrefu utagongewa na mfupi, ukiwa na pesa utagongewa na masikini ukiwa masikini utagongewa na mwenye pesa, ukiwa maarufu utagongewa na ambae sio maarufu usipokua maarufu utagongewa na mtu maarufu, ukiwa na kitambi utagongewa na mwenye six pscks ukiwa na six packs utagongewa na mwenye kitambi
[emoji3][emoji3]hakuna alie salama kwa hiyo
 
Mpumbavu huyo wampokee huko kuzimu na viboko vya kutosha na ikiwezekana kaburi lake lichapwe viboko vya kutosha.

Wanaume wengi hivi , yaan k**a nyingi kias hiki unajiua kisa mpuuzi mmoja
 
[emoji1][emoji1][emoji1]

Kuna mabinti wengi wako mitaan ni wazuri kuliko hao mastaa!


Huyo Nandy nenda mbezi beach Shule utamuona maaana kuna Ukumbi huwa anafanya mazoezi daily.

Kama hujaambiwa huwezi Jua ni yeye , ni WA kawaida saaaana

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
😁
 
Back
Top Bottom