Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 20,921
- 49,014
Daah!ukute alikuwa na depressionAmewakera adi wanafamilia aisee
Watu wamepoteana huko hawaamini🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daah!ukute alikuwa na depressionAmewakera adi wanafamilia aisee
Watu wamepoteana huko hawaamini🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Wanavosema alikua marioDaah!ukute alikuwa na depression
Yaani meseji zitumwe zamani halafu ajinyonge Jana?Unataka kusemaje hapa[emoji848]
Ok.nimekuelewa sasaLabda Tunatofautiana Uelewa!
Nimeuliza Umethibitishaje Kuwa Muhusika Ndio Kaandika?
Labda Niulize Hizo meseji zote ni za Siku Moja?
Kuna Jamaa yangu Mmoja zamani Jamaa walimkamata kwenye tukio wakamuamrisha Aandike wanachotaka Atume meseji kuoitia Simu yake!
Then wakammaliza!
Ndio Maana Nakuuliza Una uhakika Kiasi Gani Amejiua?
Report ya Polisi Imetoka?
Sasa mbona dhambi yenyewe imeenda na mtu mmojaMSHAHARA WA DHAMBI NI MAUTI: warumi 6:23
Ayah!Mkuu,unaambiwa hiyo marehemu aliandika huo ujumbe akamtumia WhatsApp mke wa masanja.na hiyo marehemu alikua na mke pia.so mke ndo alieweza kufungua simu ya mumewe anjue nini kimempata ndo akakutana na hayo..
Hiyo kazi ya kuchunguza ni kujitafutia umaskini. sitakaa kuja kuifanyaMara kadhaa tumeshauriwa Kuchunguza wake zetu mienendo yao, Hali sio nzuri kila sehemu watu wanagegedana sio mchezo. Chini hapa ni ujumbe wa kijana aliyekua anatoka kimapenzi na bibie monica ambae ni mke wa Masanja;
"...UJUMBE wangu wa Mwisho kwako MONICA
Asante Kwa kunipenda Kipindi chote hakika umenipa Upendo ambao umeacha alama moyoni mwangu ambao kila nikijaribu kuifuta nimeshindwa sioni upendo wako wa Mwanzo hivyo nimebaki Kuumia MOYONI kwa kukosa
REAL LOVE FROM YOU. MONICA Ulinipenda sana na Kuniahidi kutoniacha siku zote na Ahadi zako nilizipokea MOYONI Nami Kukuahidi Kukupenda sana na hii ndo INANIUMIZA SANA MONICA Asante kwa PENZI LAKO ambalo halijawahi kutoka MOYONI MWANGU[emoji24] SIONI TENA HAJA YA KUISHI KWENYE HII DUNIA
BILA PENZI LAKO NASEMA SIWEZI[emoji24]
MONICA SAMAHANI kwa MAAMUZI nitakayo yafanya NAJUA uamini kama naweza kufanya hivi kwa sababu ya PENZI Lako BUT NAOMBA upelewe kua umefanya nione THAMANI YA MAPENZI katika huu ULIMWENGU kupitia wewe so SIWEZI KUISHI BILA PENZI LAKO,
SIONI TENA MAANA YA MAISHA [emoji24]. MONICA, Inawezekana huu ni UJUMBE WANGU wa Mwisho kwako pia acha DUNIA nzima itambue kua nakupenda sana MONICA na nimeshindwa kuishi bila WEWE.
Najua Familia yangu, Marafiki zangu na Mama yangu mzazi UTAUMIA juu ya hili lakini nisamehe sana Mama YANGU [emoji24]. Naju Unanipenda na Mimi nakupenda Mama.
MONICA NAKUPENDA SANA and I'll miss you so much. YOUR LOVE, YOUR TIME AND YOUR MOMENT [emoji3590] Bye KIOSHO.
KULIKO UKAONA UJUMBE HUU KWENYE MITANDAO YA KIJAMII BORA NIKUTUMIE WEWE, Uje yaliyo moyoni Mwangu na ukiweza kunitibu kwa ule upendo wako wa kwanza nitakua mzima ila ukipuuzia hii basi UTANIPOTEZA na huu ndio utakua UJUMBE WA MWISHO KWANGU.
Kwa hiyo wewe ni nani yake Monica.!?Sasa Nandy nae ana uzuri gani,shingo fup,kafup hakana uzuri wowote kamekomaa tu
Nilikuwa nasoma offline lakini comment yako imenifanya ni log in ili ujue kuwa nimeisoma.na huo ndo ukweli halisi.Hakuna kanuni ya kumtuliza mwnamke hawa watu mara nyingi huwa wanapagawa zaidi na kile ambacho mwanaume wake hana na ukweli ni kwamba hakuna binadamu mwenye kila kitu.. ukiwa na kazi utagongewa na jobless ukiwa jobless utagongewa na mwenye kazi, ukiwa mfupi utagongewa na mrefu ukiwa mrefu utagongewa na mfupi, ukiwa na pesa utagongewa na masikini ukiwa masikini utagongewa na mwenye pesa, ukiwa maarufu utagongewa na ambae sio maarufu usipokua maarufu utagongewa na mtu maarufu, ukiwa na kitambi utagongewa na mwenye six pscks ukiwa na six packs utagongewa na mwenye kitambi
Hapana huyo alikuwa mama mch MasanjaKukubaliwaje tena? Sio kwamba alikua mpenzi wake?
Yani yule kaondolewaa...!!Kiukwel nahisi polisi wakiingia kazin kabisa kuna story nyuma ya pazia. Yaweza kua hata kauwawa huyu dogo au kuna tukio jingne la kiuharifu nyuma yake. Sema kwakua wachungaji wanachuliwa wapigaji watu wanafurahia na kuona jamaa kaabika na kakomeshwa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Daaah! Mimi mambo ya kupenda imetosha,saivi nna mademu 8 wapya! Wacha tubadilishane U.T.I na UKIMWI tukufe..
Sijawahi fanya ujinga huoKwahiyo ulim "commit murder"?
Lisemwalo lipo,huyu jamaa tetesi za kuuza unga amekuwa nazo ni muda mrefu sana na ni watu wake wa karibu ndio wanayazungumza,jiulize Masanja ana biashara gan za kwenda nje ya nchi kila mara?[emoji848],kingine kama anajiamini na biashara zake anazofanya why amekua ni chawa wa kusifiasifia kila kitu kinachofanywa na serikali hata kama hakistahili kusifiwaNikijaribu kujitafakari hili Jambo kwa macho ya rohoni,naona Kuna namna Nuru na giza hazichangamani ndio maana Kuna mambo lazima yawekwe nuruni.
Hili kabisa la masanja watu tumekuwa na maswali mengi namna ya jinsi linavyoendeshwa,Ni Kama uhuniuhuni na usela na dhihaka, hebu lakini hatujawa na majibu Sahihi hivyo Kuendelea kuwa watazamaji...Kuna mambo Mungu anataka kuonyesha ili uwepo wake udhihirike kwetu,hebu fikiria kabisa linaitwa FEEL FREE,yaani kuwa unachotaka!
Monica na marehemu waliamua kuwa free...kikubwa nilichojifunza Mungu yupo anatuangalia tu janjajanja zetu Ila akiamua kukuacha hata kwa seku de Mambo yanabadilika ghafla.
Sasa bado huyo mchungaji mwenyewe ngoja siku moja adakwe pale Abudhabi na kamzigo
Ameifuta baada ya watu kumpa makavu liveHii post siioni tena kwenye insta yake
Enzi zile Ana ki Nissan March
Hakuna kitu pale....ukiwajuwa watu
Raha sana......
Ova
Tutulie tuli,muda Ni hakimu mzuri sana..ye aendelee na uchawa wake tuLisemwalo lipo,huyu jamaa tetesi za kuuza unga amekuwa nazo ni muda mrefu sana na ni watu wake wa karibu ndio wanayazungumza,jiulize Masanja ana biashara gan za kwenda nje ya nchi kila mara?[emoji848],kingine kama anajiamini na biashara zake anazofanya why amekua ni chawa wa kusifiasifia kila kitu kinachofanywa na serikali hata kama hakistahili kusifiwa