Ujumbe wa aliyejiua kisa penzi la Monica (mke wa Masanja). Chunguzeni wake zenu

Ujumbe wa aliyejiua kisa penzi la Monica (mke wa Masanja). Chunguzeni wake zenu

Yaani meseji zitumwe zamani halafu ajinyonge Jana?Unataka kusemaje hapa[emoji848]

Labda Tunatofautiana Uelewa!
Nimeuliza Umethibitishaje Kuwa Muhusika Ndio Kaandika?
Labda Niulize Hizo meseji zote ni za Siku Moja?
Kuna Jamaa yangu Mmoja zamani Jamaa walimkamata kwenye tukio wakamuamrisha Aandike wanachotaka Atume meseji kuoitia Simu yake!
Then wakammaliza!
Ndio Maana Nakuuliza Una uhakika Kiasi Gani Amejiua?
Report ya Polisi Imetoka?
 
Ok.nimekuelewa sasa
 
Mkuu,unaambiwa hiyo marehemu aliandika huo ujumbe akamtumia WhatsApp mke wa masanja.na hiyo marehemu alikua na mke pia.so mke ndo alieweza kufungua simu ya mumewe anjue nini kimempata ndo akakutana na hayo..
Ayah!
 
Mara kadhaa tumeshauriwa Kuchunguza wake zetu mienendo yao, Hali sio nzuri kila sehemu watu wanagegedana sio mchezo. Chini hapa ni ujumbe wa kijana aliyekua anatoka kimapenzi na bibie monica ambae ni mke wa Masanja;

"...UJUMBE wangu wa Mwisho kwako MONICA

Asante Kwa kunipenda Kipindi chote hakika umenipa Upendo ambao umeacha alama moyoni mwangu ambao kila nikijaribu kuifuta nimeshindwa sioni upendo wako wa Mwanzo hivyo nimebaki Kuumia MOYONI kwa kukosa

REAL LOVE FROM YOU. MONICA Ulinipenda sana na Kuniahidi kutoniacha siku zote na Ahadi zako nilizipokea MOYONI Nami Kukuahidi Kukupenda sana na hii ndo INANIUMIZA SANA MONICA Asante kwa PENZI LAKO ambalo halijawahi kutoka MOYONI MWANGU[emoji24] SIONI TENA HAJA YA KUISHI KWENYE HII DUNIA

BILA PENZI LAKO NASEMA SIWEZI[emoji24]
MONICA SAMAHANI kwa MAAMUZI nitakayo yafanya NAJUA uamini kama naweza kufanya hivi kwa sababu ya PENZI Lako BUT NAOMBA upelewe kua umefanya nione THAMANI YA MAPENZI katika huu ULIMWENGU kupitia wewe so SIWEZI KUISHI BILA PENZI LAKO,

SIONI TENA MAANA YA MAISHA [emoji24]. MONICA, Inawezekana huu ni UJUMBE WANGU wa Mwisho kwako pia acha DUNIA nzima itambue kua nakupenda sana MONICA na nimeshindwa kuishi bila WEWE.

Najua Familia yangu, Marafiki zangu na Mama yangu mzazi UTAUMIA juu ya hili lakini nisamehe sana Mama YANGU [emoji24]. Naju Unanipenda na Mimi nakupenda Mama.

MONICA NAKUPENDA SANA and I'll miss you so much. YOUR LOVE, YOUR TIME AND YOUR MOMENT [emoji3590] Bye KIOSHO.

KULIKO UKAONA UJUMBE HUU KWENYE MITANDAO YA KIJAMII BORA NIKUTUMIE WEWE, Uje yaliyo moyoni Mwangu na ukiweza kunitibu kwa ule upendo wako wa kwanza nitakua mzima ila ukipuuzia hii basi UTANIPOTEZA na huu ndio utakua UJUMBE WA MWISHO KWANGU.
Hiyo kazi ya kuchunguza ni kujitafutia umaskini. sitakaa kuja kuifanya
 
Hakuna kanuni ya kumtuliza mwnamke hawa watu mara nyingi huwa wanapagawa zaidi na kile ambacho mwanaume wake hana na ukweli ni kwamba hakuna binadamu mwenye kila kitu.. ukiwa na kazi utagongewa na jobless ukiwa jobless utagongewa na mwenye kazi, ukiwa mfupi utagongewa na mrefu ukiwa mrefu utagongewa na mfupi, ukiwa na pesa utagongewa na masikini ukiwa masikini utagongewa na mwenye pesa, ukiwa maarufu utagongewa na ambae sio maarufu usipokua maarufu utagongewa na mtu maarufu, ukiwa na kitambi utagongewa na mwenye six pscks ukiwa na six packs utagongewa na mwenye kitambi
Nilikuwa nasoma offline lakini comment yako imenifanya ni log in ili ujue kuwa nimeisoma.na huo ndo ukweli halisi.

Mkuu umegusa maisha halisi na huo ndio ukwel
 
Kiukwel nahisi polisi wakiingia kazin kabisa kuna story nyuma ya pazia. Yaweza kua hata kauwawa huyu dogo au kuna tukio jingne la kiuharifu nyuma yake. Sema kwakua wachungaji wanachuliwa wapigaji watu wanafurahia na kuona jamaa kaabika na kakomeshwa.
 
Yani yule kaondolewaa...!!
 
Nikijaribu kujitafakari hili Jambo kwa macho ya rohoni,naona Kuna namna Nuru na giza hazichangamani ndio maana Kuna mambo lazima yawekwe nuruni.

Hili kabisa la masanja watu tumekuwa na maswali mengi namna ya jinsi linavyoendeshwa,Ni Kama uhuniuhuni na usela na dhihaka, hebu lakini hatujawa na majibu Sahihi hivyo Kuendelea kuwa watazamaji...Kuna mambo Mungu anataka kuonyesha ili uwepo wake udhihirike kwetu,hebu fikiria kabisa linaitwa FEEL FREE,yaani kuwa unachotaka!

Monica na marehemu waliamua kuwa free...kikubwa nilichojifunza Mungu yupo anatuangalia tu janjajanja zetu Ila akiamua kukuacha hata kwa seku de Mambo yanabadilika ghafla.

Sasa bado huyo mchungaji mwenyewe ngoja siku moja adakwe pale Abudhabi na kamzigo
Lisemwalo lipo,huyu jamaa tetesi za kuuza unga amekuwa nazo ni muda mrefu sana na ni watu wake wa karibu ndio wanayazungumza,jiulize Masanja ana biashara gan za kwenda nje ya nchi kila mara?[emoji848],kingine kama anajiamini na biashara zake anazofanya why amekua ni chawa wa kusifiasifia kila kitu kinachofanywa na serikali hata kama hakistahili kusifiwa
 
Tutulie tuli,muda Ni hakimu mzuri sana..ye aendelee na uchawa wake tu
 
Back
Top Bottom