Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 7,681
- 9,892
Silaha wanazo nyingi sana lakini wameshindwa kuifuta Israel itoke kwenye ardhi yao?Ayatollah Khomen anasema Israel wana ota kama wanaweza kumshinda vita Hezbullah. Anasema Hezbullah haihitaji msada wa Iran, silaha alizo nazo ni nyingi sana. Israel amekadiria vibaya sana hawezi kujua silaha za Hezbullah hata siku moja.
Ujumbe ndio huo hapo kuna wajinga walisema Iran kamkimbia Hezbullah. Ayatollah kawajibu Hezbullah haihitaji silaha kutoka Iran, alizo nazo zinatosha kumuangamiza israel. Anasema pia anauhakika ๐ฏ Israel hawezi kumshinda Hezbullah. Israel anacho fanya ni kukimbilia kuwauwa civilian sababu hawezi pata target za Hezbullah.
View: https://www.youtube.com/live/qEtaopW7KMo?si=DbXCe837czaoO1X6
Ardhi ipi Israel ameikalia ya Lebanon? Kuna ardhi Hezbullah anataka kuichukua serekali ya Lebanon inasema ya Syria na Syria anasema ya Lebanon wakaingilia UN wakasena ya Syria ili Hezbullah asiwafurushe Israel.Silaha wanazo nyingi sana lakini wameshindwa kuifuta Israel itoke kwenye ardhi yao?
Muda wa mayahudi kutokomezwa umefika na ndio huu, usiandikie mateSilaha wanazo nyingi sana lakini wameshindwa kuifuta Israel itoke kwenye ardhi yao?
Mkuu, soma vizuri historia ya vita hizi. Israel ilianza na Gaza ili iwafikie Hezebollah ikielekea Iran na hitimisho likiwa ni kile kichwa cha Moscow.Muda wa mayahudi kutokomezwa umefika na ndio huu, usiandikie mate
Ayatolla wewe nyamaza huna kituAkumbuke pia yule Gaidi wa Hamasi alifia mkononi mwake na kwa mshangao
Yeye mwenyewe hapo hana uhakika kama yu salama kwa myahudi
mimi nakuliza we si una akili nataka unipe logic ya Hezbullah kutumia majumba na anajua wazi Israel siku zote anasingizia hivyo hivyo Hamas na Hezbullah wanaweka silaha zao kwenye majumba? We akili yako inakubali Hezbullah na Hamas hawana akili wamuwekee silaha Israel aje azipige.Vi
Vita haina macho mkuu gaidi anaweza kutumia sehemu yoyote kujificha. Kwahy dawa ni kupiga kila Kona kila uvungu
Endelea kuota hivyo hivyo. Kinchi kidogo kimezungukwa na maadui zake mbona wanashindwa, unafikiri hawapendi kumtoa Israel pale?Ardhi ipi Israel ameikalia ya Lebanon? Kuna ardhi Hezbullah anataka kuichukua serekali ya Lebanon inasema ya Syria na Syria anasema ya Lebanon wakaingilia UN wakasena ya Syria ili Hezbullah asiwafurushe Israel.
Siku serekali ya Lebanon itasema ile ni ardhi ya Lebanon basi weka akilini, Israel atafurushwa kama mtoto kama alivyo tolewa Lebanon mwanzo.
Wafalme wa kiarabu ndio wanataka Israel ibaki pale we hujui kama Saud Arabia, UAE, Jordan ndio wanao wapelekeaa chakula na matumizi mengine bada ya Al Houth kuzuia meli kwenda Israel. Endelea kuota wewe Israel kuwapiga Hamas mpaa leo kashindwa, sidhania pia kama atawashinda na kafungiwa mipaka yote mpaa chakula, maji na umeme aweze kupigana na Egypt labda uwe huna akili ndio utamini hayo.Endelea kuota hivyo hivyo. Kinchi kidogo kimezungukwa na maadui zake mbona wanashindwa, unafikiri hawapendi kumtoa Israel pale?
Hawa watu ni watu wa ajabu sana. Kwa miaka na miaka bado Hawajifunzi kwamba wingi wa silaha au kuwa na lundo la silaha sio uhakika wa kushinda vita. Kushinda Vita ni pamoja na kutumia AKILI. Juzi kati hapo cm zao wenyewe zimewaua na kujeruhi wengi. Mbona makombora yao (lundo la silaha) na wingi wa askari vilikuwepo lakini haikuwasaidia??Silaha wanazo nyingi sana lakini wameshindwa kuifuta Israel itoke kwenye ardhi yao?
Hamtakaa muishinde israel ni bure mnajisumbuaLicha ya nyumba, hata chooni zinawezafichwa rockets za kutosha kuiangamiza Telaviv!
Labda mtarimbo wa Nasurlah Mke wa Nyau kautamania ndio wanautafuta ๐Licha ya nyumba, hata chooni zinawezafichwa rockets za kutosha kuiangamiza Telaviv!
๐ฎ ๐ฎ ๐ฎAyatollah Khomen anasema Israel wana ota kama wanaweza kumshinda vita Hezbullah. Anasema Hezbullah haihitaji msada wa Iran, silaha alizo nazo ni nyingi sana. Israel amekadiria vibaya sana hawezi kujua silaha za Hezbullah hata siku moja.
Ujumbe ndio huo hapo kuna wajinga walisema Iran kamkimbia Hezbullah. Ayatollah kawajibu Hezbullah haihitaji silaha kutoka Iran, alizo nazo zinatosha kumuangamiza israel. Anasema pia anauhakika ๐ฏ Israel hawezi kumshinda Hezbullah. Israel anacho fanya ni kukimbilia kuwauwa civilian sababu hawezi pata target za Hezbullah.
View: https://www.youtube.com/live/qEtaopW7KMo?si=DbXCe837czaoO1X6
Waliopo mapangoni ni waisrael au we hujui kama wajomba zake mungu wanaishi kama panyaAyatollah mbona unaongelea ndani ya pango si utoke nje upambane na wanaume IDF