Ujumbe wa Ayatollah Khomen kwa Israel Hawezi Mshinda vita Hezbullah

Ujumbe wa Ayatollah Khomen kwa Israel Hawezi Mshinda vita Hezbullah

Akumbuke pia yule Gaidi wa Hamasi alifia mkononi mwake na kwa mshangao

Yeye mwenyewe hapo hana uhakika kama yu salama kwa myahudi
Na nyie mkumbuke karusha mabomo ya kutosha Mara mbili na hakuna majib zaid ya vikao
 
Hujui hezbollaa nikwamba ..wanaficha silaha kwenye makazi ya watu ndomaana myaudi akipiga risasi 1nyumba inalipuka..kwasababu nyumbaza ,magaidi Zina hifadhi mabom
Ndio story za kwenye kwaya au jumuiya
 
Na nyie mkumbuke karusha mabomo ya kutosha Mara mbili na hakuna majib zaid ya vikao
Kaa kwa mkao wa kula boss!

Myahudi ninayemjua mie, haachi mambo yakajiendea bila ya yeye kufanya kitu
 
Back
Top Bottom