Pale Gaza sawa kwa sababu Palestinian wao hawana jeshi ukitoa kundi dogo la Hamas ambao sasa mwaka unatimia Israel hajafanikiwa chochote zaidi ya kuangusha majumba na kuua watu wasio na hatia lakini hata hiyo Hezbollah Israel hawezi kutoboa, utajanambia pia, Iran ni level nyengine.
History inavunjwa na history, Mulisema Israel ni mtaalam na mwamba wa vita sasa hawezi fanya lolote bila msaada kutoka US toka siku ya kwanza amepelekewa meli za silaha lakini wanyama bado wanaye wanamtibua. kama palestine haitakalika na Israel pia litabaki jangwa. Israel ni taifa bandia hawana ata kipande cha ardhi kule mashariki ya kati walibebeshwa uhuru na kutangazwa kama taifa 1948 ata babu yako ni mkubwa kwa umri kuliko taifa la israel.