Karungikana
JF-Expert Member
- Jan 8, 2017
- 913
- 844
umetaka kusikia Covid 19 ipo TZ haya ushakia ipo, unataka kusema nini??Hapa hakuna uwazi wowote. Naona tamko limetolewa kiwoga woga na hata hailieleweki dhumuni lake ni nini. Hivi kweli na madaktari wanatoa tamko la aina hii?
Hawajasema kitu.
Amandla...jaman watu wanachunga unga usimwagike, hataa daktari mkuu anazunguka tu mbuyu! lakn kama ni mtu wakujiongeza utamuelewa alikuwa akimaanisha nini juzikati kwenye vyombo vya habari
Kama watahalam, na viongozi, pamoja na kua kupumua KWA shida ni dalili ya baadhi ya magonjwa yahani symptom, ila kabla ya tamko mlitakiwa mmejiridhisha kwamba pamoja na hii dalili kuwepo laki why KWA Sasa imeongezeka, na je katika magonjwa mlioyataja lipi limekua kichocheo zaidi , then ndo mgetoa tamko kwamba hii changamoto katika utafiti wetu imeongezeka KWA tatizo flan, ingesaidia wananchi ,na watumishi wa afya kuleta matumaini, au mikakati zaidi ya kujikinga ,Kama hili ndilo tamko la chama cha madaktari, basi ni bora hiko chama kifutwe au hao viongozi wachunguzwe uwezo wao kiakili na kitaaluma.
Sema huelewi wewe na sio hawaeleweki. Naona una mziho na hiyo taaluma. Nikikumbuka ulivyomshambulia waziri wa afya hucheka. Kwenye maduka ya dawa na vipodozi, jikite kwa hilo la pili. Una utoto sana. Una looks na fair skin for uteuzi! Kwenye mambo serious waachie wenyewe. Hao waliopata shahada zao kwa kitu ndani ya skull na sio ndani ya pelvis. Una kiherehere cha kuandika mabandiko intolerable and unacceptable. Tupo hapa kwa intellects and not for looks!Hata hawaeleweki yaani. Full kujichanganya
Sema huelewi wewe na sio hawaeleweki. Naona una mziho na hiyo taaluma. Nikikumbuka ulivyomshambulia waziri wa afya hucheka. Kwenye maduka ya dawa na vipodozi, jikite kwa hilo la pili. Una utoto sana. Una looks na fair skin for uteuzi! Kwenye mambo serious waachie wenyewe. Hao waliopata shahada zao kwa kitu ndani ya skull na sio ndani ya pelvis. Una kiherehere cha kuandika mabandiko intolerable and unacceptable. Tupo hapa kwa intellects and not for looks!
Nna hela kuliko hela za ukoo wako wote mkiunganishaSema huelewi wewe na sio hawaeleweki. Naona una mziho na hiyo taaluma. Nikikumbuka ulivyomshambulia waziri wa afya hucheka. Kwenye maduka ya dawa na vipodozi, jikite kwa hilo la pili. Una utoto sana. Una looks na fair skin for uteuzi! Kwenye mambo serious waachie wenyewe. Hao waliopata shahada zao kwa kitu ndani ya skull na sio ndani ya pelvis. Una kiherehere cha kuandika mabandiko intolerable and unacceptable. Tupo hapa kwa intellects and not for looks!
Walizochukua za kupambana na covido zimeenda wapiKila mtu ni mwoga tu sasa hivi. Daktari, taja kuwa ni Korona, huwezi kufungwa maana wewe ni daktari; hivi ulivyoongea, hujaitendea haki fani na cheo chako! Eti kiapo! Serikali iko bize na ujenzi na ununuzi wa ndege, ila vifaa tiba na kujikinga hawana pesa; wadai la sivyo gomeni! Hadi wafe wangapi ndo hili liserikali lishtuke? Shame!
Sasa Ndugu unataka hospitali zifungwe ati kwa sababu kuna vifaa tiba hakuna ina make sense hiyo ?ukosefu wa vifaa tiba madaktari waendelee na kazi, huu ni ujinga,
Kwa hiyo wakati wanawaambia serikali watafute hivyo vifaa waache kufanya kazi kwake mpaka vifaa vije ?Waiambie ukweli serikali itafute vifaa tiba vya kutosha kwa ajili ya madaktari wake
Yani vifaa hakuna,wagonjwa wapo alafu daktari huyu kaamua kujitolea kumhudumia mgonjwa licha ya upungufu wa vifaa tiba kisha unasema huyu daktari anafanya kazi kwenye mazingira magumu bila sababu ?sio kuwatisha madaktari wafanye kazi kwenye mazingira magumu bila sababu
Ni wewe tu. Mbona wanaeleweka. Wanatuhimiza kujikinga na Corona. Nukta: Epuka misongamano, nawa mara kwa mara na maji ya sabuni tiririka, vaa barakoa, epuka safari zisizo za lazima, n.k.Hata hawaeleweki yaani. Full kujichanganya
Wametaja kabisa Corona?Ni wewe tu. Mbona wanaeleweka. Wanatuhimiza kujikinga na Corona. Nukta: Epuka misongamano, nawa mara kwa mara na maji ya sabuni tiririka, vaa barakoa, epuka safari zisizo za lazima, n.k.
Magrupu niliyojounga na kuungwa ya WhatsApp Yana michango ya misiba wengi wakipoteza wazazi wao