Karungikana
JF-Expert Member
- Jan 8, 2017
- 913
- 844
Kila mtu ni mwoga tu sasa hivi. Daktari, taja kuwa ni Korona, huwezi kufungwa maana wewe ni daktari; hivi ulivyoongea, hujaitendea haki fani na cheo chako! Eti kiapo! Serikali iko bize na ujenzi na ununuzi wa ndege, ila vifaa tiba na kujikinga hawana pesa; wadai la sivyo gomeni! Hadi wafe wangapi ndo hili liserikali lishtuke? Shame!