Ujumbe wa Chama cha Madaktari Tanzania (MAT) kuhusiana na mwenendo wa ugonjwa unaosababisha 'Changamoto ya Upumuaji'

Ujumbe wa Chama cha Madaktari Tanzania (MAT) kuhusiana na mwenendo wa ugonjwa unaosababisha 'Changamoto ya Upumuaji'

Kila mtu ni mwoga tu sasa hivi. Daktari, taja kuwa ni Korona, huwezi kufungwa maana wewe ni daktari; hivi ulivyoongea, hujaitendea haki fani na cheo chako! Eti kiapo! Serikali iko bize na ujenzi na ununuzi wa ndege, ila vifaa tiba na kujikinga hawana pesa; wadai la sivyo gomeni! Hadi wafe wangapi ndo hili liserikali lishtuke? Shame!
 
Hapa hakuna uwazi wowote. Naona tamko limetolewa kiwoga woga na hata hailieleweki dhumuni lake ni nini. Hivi kweli na madaktari wanatoa tamko la aina hii?
umetaka kusikia Covid 19 ipo TZ haya ushakia ipo, unataka kusema nini??
 
Kama hili ndilo tamko la chama cha madaktari, basi ni bora hiko chama kifutwe au hao viongozi wachunguzwe uwezo wao kiakili na kitaaluma.
Kama watahalam, na viongozi, pamoja na kua kupumua KWA shida ni dalili ya baadhi ya magonjwa yahani symptom, ila kabla ya tamko mlitakiwa mmejiridhisha kwamba pamoja na hii dalili kuwepo laki why KWA Sasa imeongezeka, na je katika magonjwa mlioyataja lipi limekua kichocheo zaidi , then ndo mgetoa tamko kwamba hii changamoto katika utafiti wetu imeongezeka KWA tatizo flan, ingesaidia wananchi ,na watumishi wa afya kuleta matumaini, au mikakati zaidi ya kujikinga ,
Pili wakati mnawashauri watumishi wa afya kuchukua tahadhali pia ihimizeni pia wizara /serikali kusogeza au kuongeza vifaa KWA watumishi wa afya vya kujikinga,
Mwisho
Tunaomba matamko ya vyama vingine, mfano manurse ,wafamasia, mahabara,may be tutapata angalau tamko lililoshiba,hili lipo general Sana, kimafumbo zaidi,
 
Hata hawaeleweki yaani. Full kujichanganya
Sema huelewi wewe na sio hawaeleweki. Naona una mziho na hiyo taaluma. Nikikumbuka ulivyomshambulia waziri wa afya hucheka. Kwenye maduka ya dawa na vipodozi, jikite kwa hilo la pili. Una utoto sana. Una looks na fair skin for uteuzi! Kwenye mambo serious waachie wenyewe. Hao waliopata shahada zao kwa kitu ndani ya skull na sio ndani ya pelvis. Una kiherehere cha kuandika mabandiko intolerable and unacceptable. Tupo hapa kwa intellects and not for looks!
 
Mkuu achana huyu ,anakupotezea mda bule,binfsi nilisha muignore kitambo, watu wa namna hii hufanya hivi kwa kutembelea nyota za wazi wao wakiamini kupitia huko any time uteuzi nje nje,tofauti na watoto wa mwl , baba wa taifa
Sema huelewi wewe na sio hawaeleweki. Naona una mziho na hiyo taaluma. Nikikumbuka ulivyomshambulia waziri wa afya hucheka. Kwenye maduka ya dawa na vipodozi, jikite kwa hilo la pili. Una utoto sana. Una looks na fair skin for uteuzi! Kwenye mambo serious waachie wenyewe. Hao waliopata shahada zao kwa kitu ndani ya skull na sio ndani ya pelvis. Una kiherehere cha kuandika mabandiko intolerable and unacceptable. Tupo hapa kwa intellects and not for looks!
 
Sema huelewi wewe na sio hawaeleweki. Naona una mziho na hiyo taaluma. Nikikumbuka ulivyomshambulia waziri wa afya hucheka. Kwenye maduka ya dawa na vipodozi, jikite kwa hilo la pili. Una utoto sana. Una looks na fair skin for uteuzi! Kwenye mambo serious waachie wenyewe. Hao waliopata shahada zao kwa kitu ndani ya skull na sio ndani ya pelvis. Una kiherehere cha kuandika mabandiko intolerable and unacceptable. Tupo hapa kwa intellects and not for looks!
Nna hela kuliko hela za ukoo wako wote mkiunganisha
 
Kila mtu ni mwoga tu sasa hivi. Daktari, taja kuwa ni Korona, huwezi kufungwa maana wewe ni daktari; hivi ulivyoongea, hujaitendea haki fani na cheo chako! Eti kiapo! Serikali iko bize na ujenzi na ununuzi wa ndege, ila vifaa tiba na kujikinga hawana pesa; wadai la sivyo gomeni! Hadi wafe wangapi ndo hili liserikali lishtuke? Shame!
Walizochukua za kupambana na covido zimeenda wapi
 
Sisi bado tunacheza na korona kwanza barakoa sasa ni sehemu ya kipato. Ukitaka kuhakikisha hili kwanza kila fundi ni mshona barakoa, pili kila kitambaa ni mali ghafi ya barakoa, tatu washonaji hawana usimamizi wowote. Kuna jipya hapo? Kuhusu Upumuaji tulipaswa kuambiwa vifo vya ghafla vinavyotokea sasa uchunguzi wa mwisho ni shida gani ili jujiridhishe kuwa hiyo changamoto siyo covid 19. Hii ni kazi ya wazi ya madaktari. Wataalam Wekeni siasa pembeni tunapojadiri afya za watu.
 
Ameeleweka vizuri sana kuwa changamoto ya upumuaji inasababishwa na vitu vingi sio Corona tu!!! Zingine pumu tu
 
ukosefu wa vifaa tiba madaktari waendelee na kazi, huu ni ujinga,
Sasa Ndugu unataka hospitali zifungwe ati kwa sababu kuna vifaa tiba hakuna ina make sense hiyo ?

Wako sahihi kusema wanaendelea na kazi kwa sababu huwezi kufunga hospitali kwa sababu hakuna vifaa tiba fulani huo ndo utakua ujinga wenyewe sasa.

Waiambie ukweli serikali itafute vifaa tiba vya kutosha kwa ajili ya madaktari wake
Kwa hiyo wakati wanawaambia serikali watafute hivyo vifaa waache kufanya kazi kwake mpaka vifaa vije ?

Lakini mkuu nii utaratibu kwamba wakiomba vifaa kwa serikali lazima waweke tamko rasmi kwa umma kwamba wameomba vifaa kwa serikali ?
sio kuwatisha madaktari wafanye kazi kwenye mazingira magumu bila sababu
Yani vifaa hakuna,wagonjwa wapo alafu daktari huyu kaamua kujitolea kumhudumia mgonjwa licha ya upungufu wa vifaa tiba kisha unasema huyu daktari anafanya kazi kwenye mazingira magumu bila sababu ?

Kwani kukosa vifaa sio sababu ya kufanya kazi kwenye mazingira hayo magumu ?
 
Hata hawaeleweki yaani. Full kujichanganya
Ni wewe tu. Mbona wanaeleweka. Wanatuhimiza kujikinga na Corona. Nukta: Epuka misongamano, nawa mara kwa mara na maji ya sabuni tiririka, vaa barakoa, epuka safari zisizo za lazima, n.k.
 
Kweli 47mbatizaji kasema wewe ni wa kupuuza kabisa. Sasa hayo mambo kwamba una hela kuzidi za ukoo wangu tukiunganisha pamoja, yametoka wapi? Kama unayo ni yako. Hainihusu. Sili kwako. Sijakulilia shida. Hunijui sikujui!
Kinachoandika humu ni uchambuzi. Wewe huna. Sababu tosha ya kuleta mabandiko mufilsi. Hela uipate wapi? Una kiwanda gani? Una mgodi upi? Hela ya takrima ndio wasema una hela!
 
Shida ni kuwa hawa wanakula kiapo cha kutunza uhai. Pili, hii hali inawagusa wao na manesi zaidi kuliko watu wengine.

Amandla...
 
Muhimu tupokee ushauri wa madaktari kwa kuchukua tahadhari muhimu za kunawa mikono kwa vitakasa mikono (sanitizers), kuvaa barakoa, kuepuka mikusanyiko isiyo ya lazima na kuzingatia dawa kwa magonjwa waliyoanisha.
 
Mbona hajaweka takwimu ili tujue kama ni tatizo ni kubwa kiasi gani. Yaani yeye ndo anaujua mtandao wa madaktari wote Tanzania lakini bado anasema kuna ongezeko. Ongezeko ndo watu wangapi?
 
Chama cha madaktari nchini mko kimya, vyama viingine vya kada za kiafya mko makini mmekalia kimya kisa mnaogopa mamlaka. Hamtoki hadharani kutoa angalizo na kuzishauri mamlaka za Afya kuchukua tahadhari kubwa na wala hamuoneshi kua mko serious, wataalam wenzenu wako katika risk.

Kwakua mnakumywa juice kwenye viyoyozi hamjui jasho linalowataka wenzenu mnasubiria ada za makato ya uanachama mnufaike. Mnapata dhambi kubwa sana ugeni vyama vya wafanyakazi vya Kenya, Uganda nk.
 
Back
Top Bottom