Ujumbe wa Chama cha Madaktari Tanzania (MAT) kuhusiana na mwenendo wa ugonjwa unaosababisha 'Changamoto ya Upumuaji'

Ujumbe wa Chama cha Madaktari Tanzania (MAT) kuhusiana na mwenendo wa ugonjwa unaosababisha 'Changamoto ya Upumuaji'

Papaa Mobimba

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2018
Posts
882
Reaction score
3,337
1.jpg

2.jpg
3.jpg
 
Wanakiri tatizo la changamoto ya upumuaji lipo, zaidi wanasema pamoja na changamoto za ukosefu wa vifaa tiba madaktari waendelee na kazi, huu ni ujinga, kwasababu ni sawa na kuwaambia madaktari wafe huku wanajiona.

Waiambie ukweli serikali itafute vifaa tiba vya kutosha kwa ajili ya madaktari wake, huko Muhimbili, Mwananyamala na hospitali nyingine za serikali, sio kuwatisha madaktari wafanye kazi kwenye mazingira magumu bila sababu, kulinda uhai wao ni haki yao ya msingi.
 
Mwaibambe usisite kusema ukweli hii ni Covid na wewe unajua....usiwe mbabaishaji kama Osati...haya ni maisha ya watu na yana thamani kuliko kitu chochote.
We only live once.
Kwani hujaelewa nini hapo? Siyo lazima aseme Covid kwasababu hata akisemahaitabadilisha chochote
 
Aliyeiandike ahojiwe haraka!! Ama wengine waukane huo waraka haraka. Open university walimwaga moto

Wachache wakaukana.
 
Kuna kamgomo kwa madakatari ndo maana wamesisitizwa mara 2 kuhusu maadili na viapo
 
Back
Top Bottom