Yaani JF kuna mijitu mijuha hujawahi kuona na bado haijitambui. Ujinga ujinga tu!. Sasa hapa haelewie nini kama siyo ujuha?Kwani hujaelewa nini hapo? Siyo lazima aseme Covid kwasababu hata akisemahaitabadilisha chochote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani JF kuna mijitu mijuha hujawahi kuona na bado haijitambui. Ujinga ujinga tu!. Sasa hapa haelewie nini kama siyo ujuha?Kwani hujaelewa nini hapo? Siyo lazima aseme Covid kwasababu hata akisemahaitabadilisha chochote
Wee utaelewa nini wkt ni klzHata hawaeleweki yaani. Full kujichanganya
Ukweli hapo Ni kuwa corona ipo na inazidi kusambaa na kuua watu, ila imetumika lugha ya kisiasa zaidi tujikinge na kumuomba mungu maana kwa hili si kwa ujanja wetu Wala watawala, Ni Allah pekeeHata hawaeleweki yaani. Full kujichanganya
Ndiyo maana tunasema tuna madaktari uchwara. Chama cha Madaktari ni cha kitaaluma, siyo chama cha siasa. Walistahili kutoa tamko lililosimama kitaaluma. Lakini hawa wajinga kwenye tamko lao wamejaza siasa badala ya taaluma.Ukweli hapo Ni kuwa corona ipo na inazidi kusambaa na kuua watu, ila imetumika lugha ya kisiasa zaidi tujikinge na kumuomba mungu maana kwa hili si kwa ujanja wetu Wala watawala, Ni Allah pekee
Hichi si chama cha madaktari bali ni kikundi fulani cha wapuuzi wasakatonge.Ndiyo maana tunasema tuna madaktari uchwara. Chama cha Madaktari ni cha kitaaluma, siyo chama cha siasa. Walistahili kutoa tamko lililosimama kitaaluma. Lakini hawa wajinga kwenye tamko lao wamejaza siasa badala ya taaluma.
Hawa wanashindwa kutamka moja kwa moja COVID-19 Wanazunguuka zunguuka tu mpaka message yao inakuwa too general badala ya kuwa Specific.
huwezi kuwaelewa kwa kuwa kuwa tamko halimsifii jiwe, limekwenda kinyume na anavyotaka watu wote wacheze ngoma anayopiga.Hata hawaeleweki yaani. Full kujichanganya
Halimsifii vipi wakati unaona linamsapoti? Au hujui kusoma ewe kilaza uliyeishia la 7C?huwezi kuwaelewa kwa kuwa kuwa tamko halimsifii jiwe, limekwenda kinyume na anavyotaka watu wote wacheze ngoma anayopiga.
Wanawake wenye akili bado wapo aise[emoji848]Halimsifii vipi wakati unaona linamsapoti? Au hujui kusoma ewe kilaza uliyeishia la 7C?
Hiki ni chama cha madaktari au tawi la CCM?Wameamua kuchimoa betri sasa na kuweka wazi kuhusu corona
Hakuna chama cha maditari hapo hili ni kusanyiko la waharifuWanazunguka kweli kusema huo ugonjwa ni Uviko au laa kwani kuna kigugumizi gani ili hali dunia yote inapitia changamoto hii?
Wanaogopa kufutiwa usajili, hatari sanaHapa hakuna uwazi wowote. Naona tamko limetolewa kiwoga woga na hata hailieleweki dhumuni lake ni nini. Hivi kweli na madaktari wanatoa tamko la aina hii?
sera za ccm ndio zimesababisha nikaishia la 7c, bwana wenu jiwe hataki kusema kuwa kuna corona nchiniHalimsifii vipi wakati unaona linamsapoti? Au hujui kusoma ewe kilaza uliyeishia la 7C?
Dr anatakiwa kusimama kwenye ukweli Siku zote na muda wote,kujielimisha kwa kadiri ya upeo wao kuhakikisha huduma bora zinamfikia Kila mhitaji bila ubaguzi wowote.Katika kujielimisha ni pamoja na tafiti za kisayansi zilizothibitishwa bila shaka yoyote.
Hao ni madaktari, ni wasomi! Na ili umuelewe msomi unahitaji IQ kubwa na sio IQ za hovyo za wana lumumba..Hata hawaeleweki yaani. Full kujichanganya
We popoma kweli. We umeelewa nini hapo sasaHao ni madaktari, ni wasomi! Na ili umuelewe msomi unahitaji IQ kubwa na sio IQ za hovyo za wana lumumba..