Tai Ngwilizi
JF-Expert Member
- Apr 20, 2010
- 781
- 211
Umesema kweli watu tunapiga kelele ati Rwanda ka nchi kadogo hawawezi kutuvuruga sisi taifa kubwa, lakini tumesahau Congo ni kubwa kuliko tz...ndo maana sikuzote nasema likagame linaweza kutuchapa tu,jiulize wangapi bado wamejificha serikalini.sasa tupo uchi mbele ya wanyaruanda,ole wetu tuwaguse tunakula kichapo kikali sana,ikowapi tiss...
By the way.
Huyo Mwanajeshi alitoroka tokea February kama wana JF mlikuwa hamjui..sasa kutoa Tamko leo ndo nini....
kama alitoroka february yaweza kuwa case ni AWOL(Absent Without Leave) na sio defection.By the way.
Huyo Mwanajeshi alitoroka tokea February kama wana JF mlikuwa hamjui..sasa kutoa Tamko leo ndo nini....
Hebu piga hizo namba walizoweka hapo then uje ututhibitishie mkuu.
Wadau,
Hivi TCRA walipokuja na zoezi la usajili wa namba na kutuaminisha kuwa ni kinyume cha sheria kwa mtumiaji yeyote hapa nchini kutumia simu pasipop kusajili, walikuwa wanatutania eenh? Tena utani wa maungoni kabisa. Namba hiyo katika waraka huu, ya 0715-270136 HAIJASAJILIWA!!
Vinginevyo, tunaweza anza kuhoji the authentisity ya the whole statement. Upuuzi wa mwisho kabisa huu ikiwa maafisa wetu tu wenyewe hawawezi tii sheria zilizopo. Kumbe inawezekana?
Nimetukana bonge la tusi.
Bazobonankira
Haijasajiliwa kweli.Sikutegemea JWTZ i-misbehave kwa kiwango hiki.Ingekua jeshi la polisi nisingeshangaa lakini JWTZ?No no no!
Umesema kweli watu tunapiga kelele ati Rwanda ka nchi kadogo hawawezi kutuvuruga sisi taifa kubwa, lakini tumesahau Congo ni kubwa kuliko tz
Labda atakuwa amempelekea Kagame data. Kama Kagame aliwatandika Banyamulenge akachukua nchi kwa nini ashindwe kuitandika Tanganyika inayoongozwa kilegelege..