Ujumbe wa JWTZ kuhusu kutoroka kwa Luteni Kanali Coelestine Seromba

Ujumbe wa JWTZ kuhusu kutoroka kwa Luteni Kanali Coelestine Seromba

Status
Not open for further replies.
Kutoroka Jeshini huwa ni kawaida kwa Jeshi lolote duniani. Tusianze kuhukumu Jeshi letu bila ya kusikiliza kauli yao ni ipi.
 
Hii siyo dalili nzuri, ndani ya jeshi kimeanza kunuka.

Luteni Kanali C. Seromba atoroka na nyaraka muhimu za Jeshi, Jeshi limeanza kumtafuta na akipatikana atachukuliwa hatua za kisheria.

Source: ITV taarifa ya habari saa mbili

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Hayo yamesemwa na msemaji wa JWTZ Meja Erick Komba, na kwamba askari huyo mtoro Luteni Kanali Colestine Seromba NI MTANZANIA. Wakimpata hatua za kinidhamu zitachukuliwa dhidi yake!

Source: ITV habari saa 2 usiku huu!
 
Angebaki tu tanzania na kutuma nyara kwa email.
Kuna kosa kafanya jeshini kwa mujibu wa msemaji meja xxx
 
Amekwenda kuandaa jeshi la ukombozi wa Tanzania kutoka mikononi mwa mafisadi. Tunamshauri aanze kusajiri vijana tuko tayari
 
Ndio maana namshukuru Mungu kwa uamuzi wangu kutojiunga jeshi.Nwaombea Mungu vijana waliopo Jeshini wasio na uvumilivu kama mimi maana........ !
 
Hapa ndio namkubali mkuu R.B jana alitupatia muhtasari juu ya hili.
 
Last edited by a moderator:
Si wanajeshi wote wanapende madudu wanayofanya CCM

Acha ubahili hadi wa kufikiri,we unadhan kila kitu kinahusika na siasa tu.shule za kata ni janga la vijana.yan we kibaya chochote unadhan ccm wanahusika?
 
Ndio maana namshukuru Mungu kwa uamuzi wangu kutojiunga jeshi.Nwaombea Mungu vijana waliopo Jeshini wasio na uvumilivu kama mimi maana........ !

Ben brigade yetu itaongozwa na nani kama makamanda hamtaki jeshi?
 
Sasa aliepotosha mwanzo alitoa wapi hizo taarifa au ndio kukurupuka kupost.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom