Alikuwa anaandika huku naye akitoroka kuelekea nchini kwao... Huyo aliyeiandika ana elimu kiasi gani?? Anajua kitu kingine chochote zaidi ya kucheza na magobole?????
I doubt!!!
Usanii Mpaka Jeshini.majanga.
Si wanajeshi wote wanapende madudu wanayofanya CCM
......na kwamba askari huyo mtoro Kuteni Kanali Colestine Seromba..........
Kichwa cha habari: HAJATOROKA NA NYARAKA ZA SERIKALI
Si wanajeshi wote wanapende madudu wanayofanya CCM
Ndio maana namshukuru Mungu kwa uamuzi wangu kutojiunga jeshi.Nwaombea Mungu vijana waliopo Jeshini wasio na uvumilivu kama mimi maana........ !