Ujumbe wa kumkosoa IGP kuhusu vikundi vya Mwaipopo wampeleka Polisi mwalimu Laulent Joseph (Mnegro)

britanicca

Platinum Member
Joined
May 20, 2015
Posts
18,261
Reaction score
48,864
Hii inathibitisha kuwa hii nchi imewashinda hawa walio madarakani.

Hivi kweli ingekuwa hao ni wanaojitambulisha kuwa ni waandamanaji, je wasingekamatwa?

Huyu anayeitwa IGP nadhani ni bosheni tu. Huenda IGP halisi ni mafwele na wauaji wenzake ndomana wakina Mwaipopo wako na ujasiri wa kuvaa maguo ya kihalif na kujitambulisha na hakuna wa kuwafanya kitu.

Ila huyu Mwaipopo namhurumia sana. Namwona kama Musiba alosinzia. Unakuja wakat anatoka hadharani kutaka huruma ya watanzania.
be66bf21-36ce-41fb-b924-14e21dff9d50.jpeg

Mwl. Laurent Noti Joseph (Mnegro)* mwalimu kutoka shule ya Sekondari Ikungulyabashashi anayeshikiliwa na jeshi la polisi katika kituo cha polisi Bariadi.

Nikafunga safari kwenda kituo cha polisi kumsalimia, nikiwa njiani rafiki yangu mmoja akawaa amenipigia simu nikamjulisha nipo njiani naelekea kituo cha polisi kumsalimia Rafiki na mwl Laurent Noti Joseph (Mnegro) ambaye nimejulishwa yupo kituoni hapo.

Basi rafiki yangu akaniambia tukutane tukamuone.

Tumefika kituoni hapo tukaambiwa haturuhusiwi kuonana naye, ila kama ni chakula tunaruhusiwa kumpelekea ila sio kuonana naye.

Kutokana na ushamba wetu wa kutokujua sheria tukauuliza vipi kwa upande wa mwanasheria akipatikana? Tukiambiwa hata mwanasheria/wakili kuna taratibu zake.

So hakuna ndugu, jamaa au rafiki anaruhusiwa kuonana naye.

Mimi sio msomi wa sheria, japokuwa nina sifa za kwenda Bungeni kutunga sheria, kwa maana najua kusoma na kuandika pia na kuhesabu.

Japokuwa mimi sio mwanasheria na sijui taratibu za kiutumishi zikoje. Ila hofu yangu ni kwamba huyu Mwl. Akikaa mda mrefu bila kuhudhuria kazini anaweza kukosa sifa za kuwa mwalimu. Kitu ambacho kitayumbisha hali za watu wanaomtegemea. Tukumbuke Mnegro ni mme, baba na mtoto wa wazazi wake macho ya wengi yanamtazama. Japo kuwa sijui kinachomsibu kwa maana hata jeshi la polisi halijatoa taarifa kwa umma nini Mnegro kinamsibu.

Sijajua kama umma una haki ya kupata taarifa juu ya kilichosababisha kukamatwa kwake. Maana mimi sio mwanasheria.

Nimekuwa na ushuhuda mwingi sana kwa chama cha walimu nchini kutokujali shida na changamoto za walimu wao. Mjumbe wao wanayemkata hela kila mwisho wa mwezi ety akipata shida wamsaidie yamekuwa ni maneno na hayana uhalisia. Hata kwa huyu mwl. CWT wamekaa kimya kama hawajui chochote. Pia nina ushuda wa mwl mwingine alitapeliwa akapeleka malalamiko kwao hakuna kilichofanyika.

Tangu enzi na enzi vyama vya wafanyakazi vilikuwa na nguvu za kutetea haki za wafanyakazi na kufanya mabadiliko panapohitajika.

Kwa kutumia nafasi hii naziomba taasisi mbalimbali za kutetea haki, mawakili mbalimbali wajitolee kumsaidia mwl huyu huduma za kisheria.

Ieleweke sio Gunini anasema Mnegro hana hatia la hasha! Kama amefanya kosa ahukumiwa kwa haki kwa mujibu wa sheria na taratibu tulizojiwekea.

Asanteni sana!

Gunini Masunga
Mkulima wa pamba kutoka mtaa wa Itongo Bunamhala.

Britanicca
 
Hii inathibitisha kuwa hii nchi imewashinda hawa walio madarakani.

Hivi kweli ingekuwa hao ni wanaojitambulisha kuwa ni waandamanaji, je wasingekamatwa?

Huyu anayeitwa IGP nadhani ni bosheni tu. Huenda IGP halisi ni mafwele na wauaji wenzake ndomana wakina Mwaipopo wako na ujasiri wa kuvaa maguo ya kihalif na kujitambulisha na hakuna wa kuwafanya kitu.

Ila huyu Mwaipopo namhurumia sana. Namwona kama Musiba alosinzia. Unakuja wakat anatoka hadharani kutaka huruma ya watanzania.View attachment 3627813
ila tuwe wawazi tu, wewe binafsi huoni kama hio messae ina makosa mengi tu ya kufanya mtu akamatwe?
kutoa accusation bila ushahidi ni sababu tosha ya mtu kukamatwa bila hata kutafuta makosa mengine
 
Wewe utakuwa una matatizo bila shaka.
Yaani hup ujumbe mfupi wa Mwalimu kumuuliza IGP kusema chochote kuhusu kundi la watu wenye sare maalum na walioficha sura zao, huku likiongozwa na Sheikh kutishia kuwaua waandamanaji! ndiyo ina makosa mengi ya kusababisha kukamatwa!

Ugumu ulikuwa uko wapi kwa IGP kutolea ufafanuzi kuhusu hilo genge la Sheikh Mwaipopo kama ni halali aua haram? Kwa polisi wamechagua kunyamaza kimya? Huyo Sheikh anapata wapi jeuri ya kulitangaza hilo kundi lake na wakati nchi ina vyombo vyake rasmi vya dola vya kulinda raia na mali zao?

Hii nchi imekuwa rasmi ni ya kidikteta kiasi kwamba raia hawatakiwi kuhoji chochote?
 
Ghafla nchi imetawazwa kama banana republic! Kisa? Serikali haielewiki! Mawaziri hovyo, vyombo vya usalama viko chini ya mtoto wa rais, wa visiwani wanatuteka, kututisha, katunyanyasa, kututeka na kutuuwa, ikulu siyo tena patakatifu wanaingia majitu hayaeleweki wala kuheshimu ikulu, EU, SCANDINAVIA NA AMERIKA wametubwaga
Shida tupu!
 
Hii inathibitisha kuwa hii nchi imewashinda hawa walio madarakani.

Hivi kweli ingekuwa hao ni wanaojitambulisha kuwa ni waandamanaji, je wasingekamatwa?

Huyu anayeitwa IGP nadhani ni bosheni tu. Huenda IGP halisi ni mafwele na wauaji wenzake ndomana wakina Mwaipopo wako na ujasiri wa kuvaa maguo ya kihalif na kujitambulisha na hakuna wa kuwafanya kitu.

Ila huyu Mwaipopo namhurumia sana. Namwona kama Musiba alosinzia. Unakuja wakat anatoka hadharani kutaka huruma ya watanzania.View attachment 3627813

Mwl. Laurent Noti Joseph (Mnegro)* mwalimu kutoka shule ya Sekondari Ikungulyabashashi anayeshikiliwa na jeshi la polisi katika kituo cha polisi Bariadi.

Nikafunga safari kwenda kituo cha polisi kumsalimia, nikiwa njiani rafiki yangu mmoja akawaa amenipigia simu nikamjulisha nipo njiani naelekea kituo cha polisi kumsalimia Rafiki na mwl Laurent Noti Joseph (Mnegro) ambaye nimejulishwa yupo kituoni hapo.

Basi rafiki yangu akaniambia tukutane tukamuone.

Tumefika kituoni hapo tukaambiwa haturuhusiwi kuonana naye, ila kama ni chakula tunaruhusiwa kumpelekea ila sio kuonana naye.

Kutokana na ushamba wetu wa kutokujua sheria tukauuliza vipi kwa upande wa mwanasheria akipatikana? Tukiambiwa hata mwanasheria/wakili kuna taratibu zake.

So hakuna ndugu, jamaa au rafiki anaruhusiwa kuonana naye.

Mimi sio msomi wa sheria, japokuwa nina sifa za kwenda Bungeni kutunga sheria, kwa maana najua kusoma na kuandika pia na kuhesabu.

Japokuwa mimi sio mwanasheria na sijui taratibu za kiutumishi zikoje. Ila hofu yangu ni kwamba huyu Mwl. Akikaa mda mrefu bila kuhudhuria kazini anaweza kukosa sifa za kuwa mwalimu. Kitu ambacho kitayumbisha hali za watu wanaomtegemea. Tukumbuke Mnegro ni mme, baba na mtoto wa wazazi wake macho ya wengi yanamtazama. Japo kuwa sijui kinachomsibu kwa maana hata jeshi la polisi halijatoa taarifa kwa umma nini Mnegro kinamsibu.

Sijajua kama umma una haki ya kupata taarifa juu ya kilichosababisha kukamatwa kwake. Maana mimi sio mwanasheria.

Nimekuwa na ushuhuda mwingi sana kwa chama cha walimu nchini kutokujali shida na changamoto za walimu wao. Mjumbe wao wanayemkata hela kila mwisho wa mwezi ety akipata shida wamsaidie yamekuwa ni maneno na hayana uhalisia. Hata kwa huyu mwl. CWT wamekaa kimya kama hawajui chochote. Pia nina ushuda wa mwl mwingine alitapeliwa akapeleka malalamiko kwao hakuna kilichofanyika.

Tangu enzi na enzi vyama vya wafanyakazi vilikuwa na nguvu za kutetea haki za wafanyakazi na kufanya mabadiliko panapohitajika.

Kwa kutumia nafasi hii naziomba taasisi mbalimbali za kutetea haki, mawakili mbalimbali wajitolee kumsaidia mwl huyu huduma za kisheria.

Ieleweke sio Gunini anasema Mnegro hana hatia la hasha! Kama amefanya kosa ahukumiwa kwa haki kwa mujibu wa sheria na taratibu tulizojiwekea.

Asanteni sana!

Gunini Masunga
Mkulima wa pamba kutoka mtaa wa Itongo Bunamhala.

Britanicca
Bariadi ni pa hovyo kuliko uhovyo wenyewe.
Ninao uzoefu wa pale kipindi fulani kiliyopita.
Pale watu hukamatwa na hawapelekwi mahakamani, hubaki mahabusu hata kwa miaka, huku polisi ikiwatoza hela ndugu zao.
Wanayo tabia ya kukamata raia hovyo hovyo hasa siku za minada, kuwatisha na kuwatoza hela. Mahabusu wapya hutumika kulisha wa zamani, polisi huimiza mahabusu wanaoletewa chakula kuwagawia wale wa zamani. "Utasikia shida si za mmoja bwana pendaneni".
Ikitokea ukaguzi/ziara ya za viongozi wa juu, tarehe za mahabusu kuingia pale kituoni hubadilishwa ionekane wamekamatwa hivi karibuni, mahabusu wengine huamishwa kwa muda na kufichwa vituo vya jirani kama Lugulu, Dutwa,....
Pale kuna mengi yasiyofaa............
Ndugu mleta mada msalimie sana afande Mohamed Mbaji.
 
Abdul ndiyo bosi wa IGP na kile kikundi cha kigaidi ambacho msemaji wake ni Mwaipopo kinamilikiwa na Abdul, hapo unapaswa kufahamu kuwa hicho kikundi kina hadhi na nguvu zaidi ya vyombo vyote vya ulinzi na usalama. Nobody dares to touch them.
 
Bariadi ni pa hovyo kuliko uhovyo wenyewe.
Ninao uzoefu wa pale kipindi fulani kiliyopita.
Pale watu hukamatwa na hawapelekwi mahakamani, hubaki mahabusu hata kwa miaka, huku polisi ikiwatoza hela ndugu zao.
Wanayo tabia ya kukamata raia hovyo hovyo hasa siku za minada, kuwatisha na kuwatoza hela. Mahabusu wapya hutumika kulisha wa zamani, polisi huimiza mahabusu wanaoletewa chakula kuwagawia wale wa zamani. "Utasikia shida si za mmoja bwana pendaneni".
Ikitokea ukaguzi/ziara ya za viongozi wa juu, tarehe za mahabusu kuingia pale kituoni hubadilishwa ionekane wamekamatwa hivi karibuni, mahabusu wengine huamishwa kwa muda na kufichwa vituo vya jirani kama Lugulu, Dutwa,....
Pale kuna mengi yasiyofaa............
Ndugu mleta mada msalimie sana afande Mohamed Mbaji.
RPC huwa anayafanya na kuyakubali kwa kupata faida gani?
 
Mbaji ana undugu

Mbaji ana undugu na MAREHEMU Mzee mbaji alikuwa ocs Morogoro miaka ya nyuma? Mrefu mwembamba mweupe?
 
Back
Top Bottom