Acha kudanganya. CDM huwa hawatoi orodha ya wachangiaji kuepusha malumbano. Wengi wa wachangiaji huwa ni wa kutoka CCM. Unataka mwenyekiti wenu aanzishe gubu nao? 😁😁😁😁😁Tatizo nini
wenzetu wanapenda transparency sio kama Chadema
ukiwaambia wekeni majina ya watu Na kiasi
walichomchangia matibabu Lisu wanasepa.Wao
wanaweka kibao kwa hisani ya watu wa Marekani alyechangia akienda aweza onyeshwa list nzima ya wachangiaji namba zao za simu walipo nk Chadema waambie waonyeshe hiyo list hata kama ulichangia hawakupi Na mwenye list ni mwenyekiti tu.Hakuna ulaya waweke tu hata wakijenga genge la kuuza nyanya la elfu nne.It is ok.
kwa nini hatukubakia na mfumo wa zamani?
Na kwa nini tusirudie kwenye mfumo wa zamani?
Lumumba hakuna mwenye akili!MSAADA MSAADA TU MKUU
Kama hutaki maneno hayo baada ya kusaidiwa na wenye nazo,kataa misaada yao
Hutaona maneno hayo kama kama ukizingatia hayo
Lumumba hakuna mwenye akili !Habari za jioni wadau.
Naomba niweke wazi kuwa mimi napenda nchi kama nchi ijitegemee kwa asilimia mia moja lakini pia natambua jambo hili laweza kuchukua muda kutokana na historia ya Taifa na harakati za kidunia zilizokuwepo na zinazoendelea kutokea.
Naamini pia katika kufikia lengo la kimaendeleo bado ni muhimu kupata msaada kutoka kwa wenzetu ambao walitangulia kimaendeleo.
Naamini pia njia bora na ya kweli katika kufikia uhuru wa kiuchumi,kifikra na kimaamuzi ni kupitia jitihada za watanzania wenyewe.
UKAKASI
Nimekuwa nikisikia au kushuhudia matangazo mbalimbali haswa katika sekta ya afya ambayo yanapenda kusisitiza matumizi ya maneno haya...
"KWA HISANI YA WATU WA MAREKANI"
Kwa maoni yangu maneno haya ni ya kudhalilisha mno na sielewi mantiki ya kubandika maneno haya pindi mradi unapopata msaada wa kutoka marekani.
Wakati mwingine kamradi kadogo tu kama vile ujenzi wa choo cha shilingi milioni 5 uatakuta haya maneno yapo tu.
Naamini Tanzania inapokea misaada mingi kutoka nchi mbalimbali lakini sijashuhudia sana maneno dhalili namna hii.
Je nia ya msaada wa marekani haiwezi kufikiwa hadi maneno haya yaandikwe?
Je kuna sheria nchini Marekani inayolazimisha maneno haya yaandikwe?kama ipo ni sheria ipi?
Je kuna vipengele vyovyote katika mkataba wa ushirikiano kati yetu na marekani kinachotaka maneno hayo yaandikwe?
Je wananchi wa Marekani wanapoteza nini maneno hayo yasipoandikwa?
Je Serikali haiwezi kuyapiga marufuku matumizi ya maneno haya ...mbona zamani tulipewa misaada na hakukuwa na aina hii ya maneno ya kudhalilisha?
Karibuni kwa mjadala.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
Mkuu hata mm yananikera sana,hasa haya ya kwenye mabango barabarani,mbya zaidi lile neno kwa msaada wa watu wa marekeni linakuwa na herufi kubwa,Habari za jioni wadau.
Naomba niweke wazi kuwa mimi napenda nchi kama nchi ijitegemee kwa asilimia mia moja lakini pia natambua jambo hili laweza kuchukua muda kutokana na historia ya Taifa na harakati za kidunia zilizokuwepo na zinazoendelea kutokea.
Naamini pia katika kufikia lengo la kimaendeleo bado ni muhimu kupata msaada kutoka kwa wenzetu ambao walitangulia kimaendeleo.
Naamini pia njia bora na ya kweli katika kufikia uhuru wa kiuchumi,kifikra na kimaamuzi ni kupitia jitihada za watanzania wenyewe.
UKAKASI
Nimekuwa nikisikia au kushuhudia matangazo mbalimbali haswa katika sekta ya afya ambayo yanapenda kusisitiza matumizi ya maneno haya...
"KWA HISANI YA WATU WA MAREKANI"
Kwa maoni yangu maneno haya ni ya kudhalilisha mno na sielewi mantiki ya kubandika maneno haya pindi mradi unapopata msaada wa kutoka marekani.
Wakati mwingine kamradi kadogo tu kama vile ujenzi wa choo cha shilingi milioni 5 uatakuta haya maneno yapo tu.
Naamini Tanzania inapokea misaada mingi kutoka nchi mbalimbali lakini sijashuhudia sana maneno dhalili namna hii.
Je nia ya msaada wa marekani haiwezi kufikiwa hadi maneno haya yaandikwe?
Je kuna sheria nchini Marekani inayolazimisha maneno haya yaandikwe?kama ipo ni sheria ipi?
Je kuna vipengele vyovyote katika mkataba wa ushirikiano kati yetu na marekani kinachotaka maneno hayo yaandikwe?
Je wananchi wa Marekani wanapoteza nini maneno hayo yasipoandikwa?
Je Serikali haiwezi kuyapiga marufuku matumizi ya maneno haya ...mbona zamani tulipewa misaada na hakukuwa na aina hii ya maneno ya kudhalilisha?
Karibuni kwa mjadala.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
Muache uongo kudanganya ndio maana wazungu wanawajuwa ulaghai wenu kwa wananchi.Ni sharti linalolenga nini haswa?
Muungano wa majimbo ya Marekani.Mimi sielewagi kwa nini MAREKANI = UNITED STATES OF AMERICA
lengo lake ni nini haswa?Jombaa hiyo ni donor condition....ipo tied kwenye condition za kuipata hiyo fund iliyofadhili..mara nyingi huendana na branding..angalia zile logo zinavyopangwa kwenye bango au tangazo utaona inaanza na ya donor.
Hata nyinyi mkisaidia jirani mtasema kwa msaada wa watu wa tz...kama mkipenda.
Na ukiona magari ya kisasa yenye namba za DFP ujuwe ndio haohao usiowapenda ndio wametowa hayo magari kwa ajili ya miradi mbalimbali.Mkuu hata mm yananikera sana,hasa haya ya kwenye mabango barabarani,mbya zaidi lile neno kwa msaada wa watu wa marekeni linakuwa na herufi kubwa,
DFP haina shida na ukumbuke mfumo huu wa namba za magari ya miradi na ufadhili uliwekwa na watanzania wenyewe tena aliyehusika alikuwa mtanzania ambaye kwa sasa ni Rais wa JMT.Na ukiona magari ya kisasa yenye namba za DFP ujuwe ndio haohao usiowapenda ndio wametowa hayo magari kwa ajili ya miradi mbalimbali.
Mwambieni huyo kichaa wenu akaulizeJe agizo la kuandika hivyo lilitoka kwa wananchi wa marekani au ni mbwembwe za watawala wa huko?
Kama hukitaki hamia USA au jiue pambafDFP haina shida na ukumbuke mfumo huu wa namba za magari ya miradi na ufadhili uliwekwa na watanzania wenyewe tena aliyehusika alikuwa mtanzania ambaye kwa sasa ni Rais wa JMT.
Mfumo wa namba hizi ni kwa hisani ya watu wa Tanzania!
Kumbuka nisichokipenda ni hiko kibwagizo ambacho siku za nyuma hakikuwepo lakini ilikuwa inatambulika tuna misaada kutoka USA.
DFP haina shida na ukumbuke mfumo huu wa namba za magari ya miradi na ufadhili uliwekwa na watanzania wenyewe tena aliyehusika alikuwa mtanzania ambaye kwa sasa ni Rais wa JMT.
Mfumo wa namba hizi ni kwa hisani ya watu wa Tanzania!
Kumbuka nisichokipenda ni hiko kibwagizo ambacho siku za nyuma hakikuwepo lakini ilikuwa inatambulika tuna misaada kutoka USA.
Nimewahi kufanya kazi na projects ambazo zimepata fedha kutoka kwa wafadhili mbalimbali mfano EU, NORAD etc Kabla hamjaanza implementation ni lazima mtengeneze kitu kinaitwa VISIBILITY PLAN, ambayo in short ni mpango wenu wa jinsi mtakavyotangaza au ku acknowledge kwa jamiii itakayonufaika na huo msaada fedha hiyo imetoka wapi. Visibility plan therefore will include kuweka logo ya mfadhili, Kama ni kwenye media lazima u mention source of funds etc.....Ni sharti linalolenga nini haswa?