John Wickzer Mulholland
JF-Expert Member
- Apr 13, 2023
- 6,656
- 14,403
JPM alisingiziwa mabaya mengi sana
Sahihi kabisa
Ndyomaana Mbaga Jr amesema JPM alisingiziwa, tatzo mifumo na sheria zetu kwa ujumlaSiyo kweli hata kidogo, kwa sababu tatizo lililopo siyo JPM wala siyo SSH, Bali tatizo ni kwamba Tanzania kuna Katiba mbaya sana pamoja na Sheria zilizopo ni mbaya sana ambazo pia ni sheria kandamizi.
Tukutane 23 septembaWe need to overthrowing this madness and tyrant regime to make peace in our country.23 September she must go
Mungu atubariki sote kwani wote ni viumbe wake na tuna haki ya kuishi kwa amani.Hizi ndizo Gharama za kuishi Africa
Eeh Mungu wabariki Wazungu.
Nitakuwa mtu wa mwisho kwenye watu bilioni 7 wa hii dunia kuamini huu ujumbe kaandika wakili nguli Lissu. Huu ujumbe hata Mdude angeweza kuandika vizuri zaidi.
Nashukuru umefahamu kuwa tatizo n katiba na sio JPM 😂Siyo kweli hata kidogo, kwa sababu tatizo lililopo siyo JPM wala siyo SSH, Bali tatizo ni kwamba Tanzania kuna Katiba mbaya sana pamoja na Sheria zilizopo ni mbaya sana ambazo pia ni sheria kandamizi.
Uamini usiamini lakini huo ni Ujumbe wa LissuNitakuwa mtu wa mwisho kwenye watu bilioni 7 wa hii dunia kuamini huu ujumbe kaandika wakili nguli Lissu. Huu ujumbe hata Mdude angeweza kuandika vizuri zaidi.
Mpaka Samia na Mafwele?Mungu atubariki sote kwani wote ni viumbe wake na tuna haki ya kuishi kwa amani.
Tanganyika is bleeding..🥺🤔😭😭😭
Tukutane 23 septembaTanganyika is bleeding..🥺🤔😭😭😭
Hao Mungu anawasubiriMpaka Samia na Mafwele?
Eeh Mungu uwaangamize watesi wangu.
Ifikie hatua wapinzani wabadili mwelekeo wa siasa zao, kwa namna wanavyofanya siasa za kinyonge watanyanyasika sana, kama kweli wanataka Ccm wakubali kufanya siasa za usawa basi inawapasa walipe gharama kweli kweli sio hizi zuga tunazoziona. Dora haichukuliwi kiwepesi namna hiyo tuache kudanganyana.
Awatembezee Mkono hapa hapa duniani tufarijike.Hao Mungu anawasubiri
Ni kweli kabisa, hao jamaa ni zaidi ya PhyschopathsKama ni kweli hakika huo sio ubinadamu kabisa Mungu atusimamie
Tulipofika sio pazuri kabisa aseeNi kweli kabisa, hao jamaa ni zaidi ya Physchopaths
Saivi wameanza kushtuka na kusisitiza njia pekee ya mabadiliko ni kutumia nguvu ya uma, na Jumatatu ndyo mwanzo wa safari mpya ya mabadiliko.Ifikie hatua wapinzani wabadili mwelekeo wa siasa zao, kwa namna wanavyofanya siasa za kinyonge watanyanyasika sana, kama kweli wanataka Ccm wakubali kufanya siasa za usawa basi inawapasa walipe gharama kweli kweli sio hizi zuga tunazoziona. Dora haichukuliwi kiwepesi namna hiyo tuache kudanganyana.
Wewe ndo uliwaingiza mkenge wenzako na kuja na slogan ya Samia Must Go?Tanganyika is bleeding..🥺🤔😭😭😭