Ujumbe wa Lissu baada ya kuzuiwa kufanya mkutano wa hadhara Tanga, atishiwa kuvunjwa mguu mmoja uliobaki

Ujumbe wa Lissu baada ya kuzuiwa kufanya mkutano wa hadhara Tanga, atishiwa kuvunjwa mguu mmoja uliobaki

JPM alisingiziwa mabaya mengi sana
Sahihi kabisa

Siyo kweli hata kidogo, kwa sababu tatizo lililopo siyo JPM wala siyo SSH, Bali tatizo ni kwamba Tanzania kuna Katiba mbaya sana pamoja na Sheria zilizopo ni mbaya sana ambazo pia ni sheria kandamizi.

JPM tayari ameondoka zake, na SSH naye ipo siku lazima ataondoka, lakini vitendo viovu vya Utejaji, utesaji na Mauaji kamwe havitaondoka, na badala yake vitaendekea kuwepo kwa sababu Katiba na Sheria zinazohalalisha vitendo hivyo viovu kuwepo bado zipo na wala hazijaondolewa kutoka hapa nchini Tanzania.
 
Nitakuwa mtu wa mwisho kwenye watu bilioni 7 wa hii dunia kuamini huu ujumbe kaandika wakili nguli Lissu. Huu ujumbe hata Mdude angeweza kuandika vizuri zaidi.
Uamini usiamini lakini huo ni Ujumbe wa Lissu
 
View attachment 3101869

Source: Godbles Lema, katika ukurasa wa X
Ifikie hatua wapinzani wabadili mwelekeo wa siasa zao, kwa namna wanavyofanya siasa za kinyonge watanyanyasika sana, kama kweli wanataka Ccm wakubali kufanya siasa za usawa basi inawapasa walipe gharama kweli kweli sio hizi zuga tunazoziona. Dora haichukuliwi kiwepesi namna hiyo tuache kudanganyana.
 
Saivi wameanza kushtuka na kusisitiza njia pekee ya mabadiliko ni kutumia nguvu ya uma, na Jumatatu ndyo mwanzo wa safari mpya ya mabadiliko.
 
View attachment 3101869

Source: Godbles Lema, katika ukurasa wa X
amani yetu.png
 
Back
Top Bottom