Ujumbe wa Lissu baada ya kuzuiwa kufanya mkutano wa hadhara Tanga, atishiwa kuvunjwa mguu mmoja uliobaki

Tulikosea kama taifa!na Nyerere alikosea pia!

Tusingefanya chama kimoja kishike madaraka milele,tungeokoa nguvu KAZI ya taifa iliyopotea kulinda chama changu hiki!!

Tungeandaa vyama mbadala walau kimoja kipokezane na hiki!ingesaidia kuhodhi mawazo ya wananchi na kizazi kipya!!

Naona aibu kuitwa mtanzania sometimes,uwezo wetu was ku handle mambo ni wa hovyo sana!!
 
Kwa nini hivi vyama visifutwd jamani. Tanzania hatujazoea kuwa na vurugu hizi kisa 4r za samia.
Huu ni mwanzo wa vurugu, kama haki isipo tendeka basi hali itakuwa mbaya zaidi.
 
Binafsi sioni kama Vyama vingi ni tatzo, ila tatzo ni baadhi ya watu kutumia nguvu kubwa kubaki madarakani ingali wananchi hawawataki.
 
Unamtishia kumvunja mguu mtu uliyemshambulia kwa risasi 38? Watafute kitu kingine cha kumtisha.
 
Binafsi sioni kama Vyama vingi ni tatzo, ila tatzo ni baadhi ya watu kutumia nguvu kubwa kubaki madarakani ingali wananchi hawawataki.
Ujasusi wetu haukurusu chama mbadala kushika Dola zaidi ya CATHOLIC CHURCH MOVEMENT iliyodumu Hadi leo!
 
Ujasusi wetu haukurusu chama mbadala kushika Dola zaidi ya CATHOLIC CHURCH MOVEMENT iliyodumu Hadi leo!
Huo ujasusi ulitambua kwamba utafika wakati damu za watu zitamwagwa kulinda madaraka?
 
Mm❎
Mimi✔️
Ss❎
Sisi✔️😀,,,Lissu,,Mwanasheria Mbobezi Kwa nini anaandika kama GenZ?au posti ya mchongo hii
 
Mm❎
Mimi✔️
Ss❎
Sisi✔️😀,,,Lissu,,Mwanasheria Mbobezi Kwa nini anaandika kama GenZ?au posti ya mchongo hii
Hiyo sms haikuwa rasmi au mahususi kwa ajili ya kusomwa na uma, bali alituma kwa mtu binafsi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…