Ujumbe wa Lissu baada ya kuzuiwa kufanya mkutano wa hadhara Tanga, atishiwa kuvunjwa mguu mmoja uliobaki

Tulikosea kama taifa!na Nyerere alikosea pia!

Tusingefanya chama kimoja kishike madaraka milele,tungeokoa nguvu KAZI ya taifa iliyopotea kulinda chama changu hiki!!

Tungeandaa vyama mbadala walau kimoja kipokezane na hiki!ingesaidia kuhodhi mawazo ya wananchi na kizazi kipya!!

Naona aibu kuitwa mtanzania sometimes,uwezo wetu was ku handle mambo ni wa hovyo sana!!
 
Kwa nini hivi vyama visifutwd jamani. Tanzania hatujazoea kuwa na vurugu hizi kisa 4r za samia.
Huu ni mwanzo wa vurugu, kama haki isipo tendeka basi hali itakuwa mbaya zaidi.
 
Tulikosea kama taifa!na Nyerere alikosea pia!

Tusingefanya chama kimoja kishike madaraka milele,tungeokoa nguvu KAZI ya taifa iliyopotea kulinda chama changu hiki!!

Tungeandaa vyama mbadala walau kimoja kipokezane na hiki!ingesaidia kuhodhi mawazo ya wananchi na kizazi kipya!!

Naona aibu kuitwa mtanzania sometimes,uwezo wetu was ku handle mambo ni wa hovyo sana!!
Binafsi sioni kama Vyama vingi ni tatzo, ila tatzo ni baadhi ya watu kutumia nguvu kubwa kubaki madarakani ingali wananchi hawawataki.
 
Unamtishia kumvunja mguu mtu uliyemshambulia kwa risasi 38? Watafute kitu kingine cha kumtisha.
 
Mm❎
Mimi✔️
Ss❎
Sisi✔️😀,,,Lissu,,Mwanasheria Mbobezi Kwa nini anaandika kama GenZ?au posti ya mchongo hii
 
Hiyo sms haikuwa rasmi au mahususi kwa ajili ya kusomwa na uma, bali alituma kwa mtu binafsi.
 
Back
Top Bottom