Buenos Aires
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 1,894
- 1,622
kwa roho na damu tutakufidia wakati wapo pale misri? wangevuka tu mpaka waende wakapigane na israel kuwasaidia. cawards and terrorists.View attachment 2808810
Kwa roho na Damu Tunakufidia Palestina (Mashabiki wa Timu ya Al Ahly ya Misri)
Watu wenye huruma na utu, ningefurahi sana kuona pia timu zetu zikifanya kama ilivyo kwa al ahly, Allah awajaze kheri hao ndugu zetu waislamu.
Nilitamani sana muibuke na ushindi dhidi ya mamelodi, lakini kwa bahati mbaya haikua hivyo.....
Mimi kama Buenos Aires, Nasimama na WYDAD CASABLANCA dhidi ya mamelodi, kama hupendi jipige kitanzi!
Palestine 🇵🇸 will be free in shaa Allah
View attachment 2808810

Mkuu waanzishie uzi na wale wasudan wa Darfur wanaouawa kama kuku. Nao ni Waislam pia Inshallah
Wambie Al ahly wawakumbuke na wao pia
Mimi siyo mnafiq kama weweHata wewe ukiwaanzishia inatosha
Vipi darfur mkuu??View attachment 2808810
Kwa roho na Damu Tunakufidia Palestina (Mashabiki wa Timu ya Al Ahly ya Misri)
Watu wenye huruma na utu, ningefurahi sana kuona pia timu zetu zikifanya kama ilivyo kwa al ahly, Allah awajaze kheri hao ndugu zetu waislamu.
Nilitamani sana muibuke na ushindi dhidi ya mamelodi, lakini kwa bahati mbaya haikua hivyo.....
Mimi kama Buenos Aires, Nasimama na WYDAD CASABLANCA dhidi ya mamelodi, kama hupendi jipige kitanzi!
Palestine 🇵🇸 will be free in shaa Allah
Mkuu waislamu waafrika ni wanafiki.Hata wewe ukiwaanzishia inatosha
ukute una rang ya kimahView attachment 2808810
Kwa roho na Damu Tunakufidia Palestina (Mashabiki wa Timu ya Al Ahly ya Misri)
Watu wenye huruma na utu, ningefurahi sana kuona pia timu zetu zikifanya kama ilivyo kwa al ahly, Allah awajaze kheri hao ndugu zetu waislamu.
Nilitamani sana muibuke na ushindi dhidi ya mamelodi, lakini kwa bahati mbaya haikua hivyo.....
Mimi kama Buenos Aires, Nasimama na WYDAD CASABLANCA dhidi ya mamelodi, kama hupendi jipige kitanzi!
Palestine [emoji1193] will be free in shaa Allah
Huwezi kuwasikia maana anayetekeleza mauaji ni mwarabu,wakimsikia mwarabu wanakuwa kama mbwa kaona chatu.Mkuu waislamu waafrika ni wanafiki.
Waarabu waislamu wa sudan wanaua waislamu waafrika.
Afu nyinyi mmekaa kimya mnakimbilia waarabu wa palestina.
HAMUWASEMI JANJAWEED KISA NI WAARABU MNAWAONEA AIBU
ukute una rang ya kimah
Mkuu waislamu waafrika ni wanafiki.
Waarabu waislamu wa sudan wanaua waislamu waafrika.
Afu nyinyi mmekaa kimya mnakimbilia waarabu wa palestina.
HAMUWASEMI JANJAWEED KISA NI WAARABU MNAWAONEA AIBU
Mimi siyo mnafiq kama wewe
Kui- support palestina ni kuunga mkono ugaidi.وَلَنْ تَرْضَىٰ عَنْكَ الْيَهُودُ وَلَا النَّصَارَىٰ حَتَّىٰ تَتَّبِعَ مِلَّتَهُمْ ۗ قُلْ إِنَّ هُدَى اللَّهِ هُوَ الْهُدَىٰ ۗ وَلَئِنِ اتَّبَعْتَ أَهْوَاءَهُمْ بَعْدَ الَّذِي جَاءَكَ مِنَ الْعِلْمِ ۙ مَا لَكَ مِنَ اللَّهِ مِنْ وَلِيٍّ وَلَا نَصِيرٍ
Al-Baqarah 120
Mayahudi hawawi radhi nawe, wala Wakristo, mpaka ufuate mila yao. Sema: Hakika uwongofu wa Mwenyezi Mungu ndio uwongofu. Na kama ukifuata matamanio yao baada ya ujuzi ulio kwisha kujia, hutapata mlinzi wala msaidizi kwa Mwenyezi Mungu.
وَإِذَا قِيلَ لَهُمُ اتَّبِعُوا مَا أَنْزَلَ اللَّهُ قَالُوا بَلْ نَتَّبِعُ مَا أَلْفَيْنَا عَلَيْهِ آبَاءَنَا ۗ أَوَلَوْ كَانَ آبَاؤُهُمْ لَا يَعْقِلُونَ شَيْئًا وَلَا يَهْتَدُونَ
Al-Baqarah 170
Na wanapo ambiwa: Fuateni aliyo yateremsha Mwenyezi Mungu; wao husema: Bali tutafuata tuliyo wakuta nayo baba zetu. Je, hata ikiwa baba zao walikuwa hawaelewi kitu, wala hawakuongoka?
hawa ndio ndugu zake Faiza Foxy, waarabu ni wakatili sana.
Kui- support palestina ni kuunga mkono ugaidi.
Km hao Hamas wangekuwa vidume wangetangaza vita na Israel ila wakaenda kufanya ugaidi