Ujumbe wa mashabiki wa Afrika Al Ahly kwa Palestina

Buenos Aires

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2015
Posts
1,894
Reaction score
1,622

Kwa roho na Damu Tunakufidia Palestina (Mashabiki wa Timu ya Al Ahly ya Misri)

Watu wenye huruma na utu, ningefurahi sana kuona pia timu zetu zikifanya kama ilivyo kwa al ahly, Allah awajaze kheri hao ndugu zetu waislamu.

Nilitamani sana muibuke na ushindi dhidi ya mamelodi, lakini kwa bahati mbaya haikua hivyo.....

Mimi kama Buenos Aires, Nasimama na WYDAD CASABLANCA dhidi ya mamelodi, kama hupendi jipige kitanzi!

Palestine 🇵🇸 will be free in shaa Allah
 
View attachment 2808810

kwa roho na damu tutakufidia wakati wapo pale misri? wangevuka tu mpaka waende wakapigane na israel kuwasaidia. cawards and terrorists.
 
View attachment 2808810

Kwa roho na Damu Tunakufidia Palestina (Mashabiki wa Timu ya Al Ahly ya Misri)

Watu wenye huruma na utu, ningefurahi sana kuona pia timu zetu zikifanya kama ilivyo kwa al ahly, Allah awajaze kheri hao ndugu zetu waislamu.

Nilitamani sana muibuke na ushindi dhidi ya mamelodi, lakini kwa bahati mbaya haikua hivyo.....

Mimi kama Buenos Aires, Nasimama na WYDAD CASABLANCA dhidi ya mamelodi, kama hupendi jipige kitanzi!

Mkuu waanzishie uzi na wale wasudan wa Darfur wanaouawa kama kuku. Nao ni Waislam pia Inshallah
Wambie Al ahly wawakumbuke na wao pia
 
View attachment 2808810

Kwa roho na Damu Tunakufidia Palestina (Mashabiki wa Timu ya Al Ahly ya Misri)

Watu wenye huruma na utu, ningefurahi sana kuona pia timu zetu zikifanya kama ilivyo kwa al ahly, Allah awajaze kheri hao ndugu zetu waislamu.

Nilitamani sana muibuke na ushindi dhidi ya mamelodi, lakini kwa bahati mbaya haikua hivyo.....

Mimi kama Buenos Aires, Nasimama na WYDAD CASABLANCA dhidi ya mamelodi, kama hupendi jipige kitanzi!

Palestine 🇵🇸 will be free in shaa Allah
Vipi darfur mkuu??
Au sababu wale ni waislamu weusi na wanauawa na waislamu waarabu.
Screenshot_20231108-104359.png
 
Ila waislamu mmeyumba kwenye suala la Darful. Yani mnajikomba kwa waarabu na kuwaacha weusi wenzenu wakichijwa. Halafu usimsahau Sultan Makenga wa M23.
 
View attachment 2808810

Kwa roho na Damu Tunakufidia Palestina (Mashabiki wa Timu ya Al Ahly ya Misri)

Watu wenye huruma na utu, ningefurahi sana kuona pia timu zetu zikifanya kama ilivyo kwa al ahly, Allah awajaze kheri hao ndugu zetu waislamu.

Nilitamani sana muibuke na ushindi dhidi ya mamelodi, lakini kwa bahati mbaya haikua hivyo.....

Mimi kama Buenos Aires, Nasimama na WYDAD CASABLANCA dhidi ya mamelodi, kama hupendi jipige kitanzi!

Palestine [emoji1193] will be free in shaa Allah
ukute una rang ya kimah
 
Mkuu waislamu waafrika ni wanafiki.
Waarabu waislamu wa sudan wanaua waislamu waafrika.
Afu nyinyi mmekaa kimya mnakimbilia waarabu wa palestina.
HAMUWASEMI JANJAWEED KISA NI WAARABU MNAWAONEA AIBU
Huwezi kuwasikia maana anayetekeleza mauaji ni mwarabu,wakimsikia mwarabu wanakuwa kama mbwa kaona chatu.
 
Mimi siyo mnafiq kama wewe

وَلَنْ تَرْضَىٰ عَنْكَ الْيَهُودُ وَلَا النَّصَارَىٰ حَتَّىٰ تَتَّبِعَ مِلَّتَهُمْ ۗ قُلْ إِنَّ هُدَى اللَّهِ هُوَ الْهُدَىٰ ۗ وَلَئِنِ اتَّبَعْتَ أَهْوَاءَهُمْ بَعْدَ الَّذِي جَاءَكَ مِنَ الْعِلْمِ ۙ مَا لَكَ مِنَ اللَّهِ مِنْ وَلِيٍّ وَلَا نَصِيرٍ
Al-Baqarah 120
Mayahudi hawawi radhi nawe, wala Wakristo, mpaka ufuate mila yao. Sema: Hakika uwongofu wa Mwenyezi Mungu ndio uwongofu. Na kama ukifuata matamanio yao baada ya ujuzi ulio kwisha kujia, hutapata mlinzi wala msaidizi kwa Mwenyezi Mungu.

وَإِذَا قِيلَ لَهُمُ اتَّبِعُوا مَا أَنْزَلَ اللَّهُ قَالُوا بَلْ نَتَّبِعُ مَا أَلْفَيْنَا عَلَيْهِ آبَاءَنَا ۗ أَوَلَوْ كَانَ آبَاؤُهُمْ لَا يَعْقِلُونَ شَيْئًا وَلَا يَهْتَدُونَ
Al-Baqarah 170
Na wanapo ambiwa: Fuateni aliyo yateremsha Mwenyezi Mungu; wao husema: Bali tutafuata tuliyo wakuta nayo baba zetu. Je, hata ikiwa baba zao walikuwa hawaelewi kitu, wala hawakuongoka?
 
Acha misri waweke waarabu wenzao na sisi tupambanie wabantu wenzetu wanaobondana
 
Kui- support palestina ni kuunga mkono ugaidi.
Km hao Hamas wangekuwa vidume wangetangaza vita na Israel ila wakaenda kufanya ugaidi
 
Hawa wazayuni ndio kiboko yahawa wahuni wavaa kobaz,wamezoea kuua wakristo ila kwamzayuni yeye hana kuremba
 
Kui- support palestina ni kuunga mkono ugaidi.
Km hao Hamas wangekuwa vidume wangetangaza vita na Israel ila wakaenda kufanya ugaidi

Hebu tuonyeshe hao watoto, wamama na wazee waliouawa na hamas?
 
Back
Top Bottom