Ujumbe wa Netanyahu kwenda kwa Rais Macron wa Ufaransa

Ukimuangali Netanyahu mpaka nuru imeanza kupotea ... kipigo alichotoa Iran Netanyahu itamchukua mwaka mzima kukisahu ...kwa kweli
 

aYo magaidi yana jificha kwenye kimvuli cha raia iyo mbinu israel ina itambua ndio maana ina shambulia na haishambulii tu hv hv ni kwa kua wanakua tayr na taarifa za uhakika kuhusu uwepo wa adui eneo husika
 
Jibu lipo hapa umemaliza kila kitu mkuu. Hata wale mabumunda a.k.a makondoo a.k.a manyumbu yatakuwa yameelewa.

Israel imekuwa omba omba a..k.a matonya hadi mabwana zake wamemchoka.
 
aYo magaidi yana jificha kwenye kimvuli cha raia iyo mbinu israel ina itambua ndio maana ina shambulia na haishambulii tu hv hv ni kwa kua wanakua tayr na taarifa za uhakika kuhusu uwepo wa adui eneo husika
Watoto wachanga na kina mama ndiyo magaidi? Huoni watoto wachanga idadi ya maelfu wameuawa?

Kama hiyo ndiyo intelijensia ya Israel basi tunaposema hakuna jeshi pale bali mashoga matupu iwe inaeleweka.
 
Wangeanza kubomoa kwanza kile kilinge al aqisa,
 
Watoto wachanga na kina mama ndiyo magaidi? Huoni watoto wachanga idadi ya maelfu wameuawa?

Kama hiyo ndiyo intelijensia ya Israel basi tunaposema hakuna jeshi pale bali mashoga matupu iwe inaeleweka.
Hivi mnajua vita wanayopigana ilivyo ngumu? Magaid hawa hawana uwanja maalumu wa vita hata nyumba za raia unakuta maroket sasa wewe kama ni netanyau utafanyaje? Yaan unishambulie alafu ujifiche nyuma ya mtoto nikuache uendelee haiwezekani na ngoma hii haiishi leo
 
kwa nini waanzishe vita waarabu harafu wewe ulikuwa kimyaaaa! Leo wnatandikwa kisawasawa wewe unadai wanaouwawa ni wanawake na watoto! hii ni kweli? Hisbollah kajiingiza mwenyewe na kufyatua makombola 18 milion bila hata ya huruma. sasa wajukuu wa rebeca wanyamaze kwa sababu watoto na wanawake wanakufa?
 
kweli kabisaaa mkumkuuu! Hamasi na Hisbollah wamechokoza haya yote wakijua kuna watoto na wanawake majumbani. Israel ikiwapiga tuu utakuta TV zote duniani zinaonesha eti watoto na wanawake ndo wanaokufa! huu ni mpango wa propaganda wa kumpatia ushindi gaidi. Neta, wewe piga tuuu mpaka wakome hao magaidi. chinja chinja hao viongozi mpaka wasusie kiti cha uongozi.
 
Huyo ndiyo Netanyahu!
Siyo tu France tu,hata US na UK zisipompa Silaha ana hakika Israel itashinda.
Linapokuja swala la Usalama wa Israel,Israel haiamriwi na nani cha kufanya zaidi ya kujihami kwa njia yo yote bila hata kutegemea misaada kutoka wapi! Israel inaishi kwa Ujasiri wa Mfalme wao Daud aliyemua Goliath kwa jiwe tu!
Pili Israel si kwamba inaua watoto,wanawake na watu kwa kutaka! La hasha.
Israel inalazimika kuua kwa sababu maadui zake wanajificha katikati ya raia! kwenye majumba ya raia,miskiti,hospitali,mashule,nk na wanatumia maeneo hayo kuishambulia Israe! Israel inafanyaje?
Israel ina haki ya kujilinda kwa gharama yo yote hata kwa damu za watu.
Tatu,Israel inapigania haki yake ya kuwepo kama Taifa katika ardhi yake! Maadui zake wanataka Taifa hilo lifutwe katika uso wa dunia! Israel inafanyaje zaidi ya kujilinda kwa nguvu zote?
Nne,Two state solution?
Wapalesina wanataka Mji wa Yerusalem uwe ndiyo uwe Makao Makuu ya Taifa lao! Israel inakubalije wakati mji wa Yerusalem ulijengwa na Mfalme wao Daud? Wanataka hata maeneo matakatifu ya Waisrael, ambayo yana Miskiti ya Dome of the rock na Al aqisa ilikojengwa maeneo ambayo kuna ushahidi wa kihistoria kuwa ni maeneo ya Israel mf.Western Wall hata kabla ya miskiti hiyo kujengwa!? Israel inakubalije Two state solution yenye madai ya kuchukuliwa maeneo yake?
Solution!
Dunia iungane na Israel kupambana na vikundi vya kigaidi duniani.
Wapalestina wasidai maeneo ya Israel kuwa yao kama wanataka Taifa lao! Vinginevyo Israel itakaribisha maadui zake kwenye mipaka yake?
STAND FOR PEACE IN MIDDLE EAST!
 
Hakuna watu waoga kama waarabu wao siku zote wakishaanzisha vita baadaye ni kwenda kujificha kwa wanawake na watoto wakifikiri kwa kufanya hivyo ndio watasalimika.

Sasa kwa mazingira hayo unategemea mtu afanye nini, ni kuwabamiza hukohuko walikojificha maanake hamna namna.

Israel haitegemei kupewa silaha na Ufaransa eti ndio ishinde vita, hata kidogo, hao waarabu siku zote wanachakazwa bila msaada wowote wa Ufaransa na ndio maana Israel ipo leo hapo ilipo kinyume na matakwa ya waarabu.
 
Kama Israel anauwa raia,, Hamas walipovamia na kuuwa vijana wawili wa SUA walioenda kusoma kilimo na waisraeli 1200 tena night club, walikuwa askari?
 
Ukimuangali Netanyahu mpaka nuru imeanza kupotea ... kipigo alichotoa Iran Netanyahu itamchukua mwaka mzima kukisahu ...kwa kweli
Iran wamepiga kwenye mshono yani😂 kama yeye alivyolenga vichwa vya hezbollah.

Mtu akipiga chimbo lako la ndege na silaha unafikiri inakuwaje hapo😂? Utapiganaje na silaha huna! Lazma uishie kulaani vikali tu.
 
Nia ya vita ni kumuumiza adui.Unapiga/unaua wapendwa wake ili achananyikiwe.
 
Iran wamepiga kwenye mshono yani😂 kama yeye alivyolenga vichwa vya hezbollah.

Mtu akipiga chimbo lako la ndege na silaha unafikiri inakuwaje hapo😂? Utapiganaje na silaha huna! Lazma uishie kulaani vikali tu.
Hivi, bandugu. Mbona hakuna anayeona kosa la Hamas kuivamia Israel 7.10.2023 ? Kama Hamas ameua raia maelfu na anaungwa mkono na ushabiki wa kidini, wao wakifa si waliyataka wenyewe ? Tena wafuasi wao humu wakatamba kabisa kuwa Israel havuki mpaka kuivamia Palestine. Na wakasema hajui vita ya ardhini bali madege tu. Acha wauane. Ila muarabu ni mkatili, mbaguzi, mdini.
 
Fuatilia mabno uelewe, usiandike alimradi unajua kuandika!!

Hezbolah na hamas wanajificha na kushambilia kutokea katikati ya maeneo ya kirai. Hawa magaidi wanawatumia raia kama ngao. Ukitaka kuwapiga utawapigaje bila ya kupiga maeneo ya kiraia?

Haya makundi ya kigaidi yameweka miundombinu yao ya kijeshi kwenye mashule, hospitali na kwenye makazi ya watu. Wakipigwa wanaenda kujificha hospitalini na, mashuleni na misikitini. Huo uwendawazimu, waisrael hawaufanyi., ndiyo maana haya makundi ya kigaidi, yakiishambulia miundombinu ya kijeshi ya Israel, huwezi kusikia vifo vya raia.
 
Huyu jamaa kashakua kama Pashkuna la Magomeni,maneno mengiiiii .Rudisha vyuma Tehran ,hatujakuzoea hivi (Bibi)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…