Jifunze kutambua codesAna haraka gani kwani si asubiri kesho? Huku ni kuchanganyikiwa.
Wamejificha wapi"Ndugu wananchi Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan anapenda kuwatakia wananchi wote heri ya Sikukuu ya Uhuru wa Tanzania Bara inayoadhimishwa kila mwaka tarehe 9 Desemba, aidha serikali inawashauri wananchi wote ambao tarehe 9 desemba 2025 hawatakuwa na dharura kuitumia siku hiyo kwa mapumziko hivyo kushereheka siku hiyo wakiwa nyumbani isipokuwa kwa wale ambao majukumu yao ya kazi yanawataka kuwepo katika vituo vya kazi kama ambavyo wataelekezwa na viongozi wao"
Ujumbe wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, kuhusu Maadhimisho ya Sikukuu ya Uhuru Desemba 9, 2025, na kuwasilishwa na Waziri mkuu wa Mwigulu Lameck Nchemba.
When it is abnormal.. It will always be in advance!Salamu za 9D inakuwaje zinatolewa asubuhi ya tarehe 8/December, haraka ya nini?
Ukisema uhuru wa Tanzania bara unaitenga MafiaHivi ni uhuru wa Tanganyika ama ni uhuru wa Tanzania bara
Asilete taharukiTanzania hatuna Rais mkuu, acha kutupotosha.
Njoo burundi kwa Mwiguru yanapatikana inategemea unataka la uzito gani na yamegawanyika kuna aina ya nazi,muhindi,kitenesi,Umme wa punda mara nyingi haya unapewa na kufyatua free.Kuna Kuna connection yoyote ya bomu la kurusha nipatiwe
Sema kabisa utaua wangapi"Ndugu wananchi Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan anapenda kuwatakia wananchi wote heri ya Sikukuu ya Uhuru wa Tanzania Bara inayoadhimishwa kila mwaka tarehe 9 Desemba, aidha serikali inawashauri wananchi wote ambao tarehe 9 desemba 2025 hawatakuwa na dharura kuitumia siku hiyo kwa mapumziko hivyo kushereheka siku hiyo wakiwa nyumbani isipokuwa kwa wale ambao majukumu yao ya kazi yanawataka kuwepo katika vituo vya kazi kama ambavyo wataelekezwa na viongozi wao"
Ujumbe wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, kuhusu Maadhimisho ya Sikukuu ya Uhuru Desemba 9, 2025, na kuwasilishwa na Waziri mkuu wa Mwigulu Lameck Nchemba.
"Ndugu wananchi Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan anapenda kuwatakia wananchi wote heri ya Sikukuu ya Uhuru wa Tanzania Bara inayoadhimishwa kila mwaka tarehe 9 Desemba, aidha serikali inawashauri wananchi wote ambao tarehe 9 desemba 2025 hawatakuwa na dharura kuitumia siku hiyo kwa mapumziko hivyo kushereheka siku hiyo wakiwa nyumbani isipokuwa kwa wale ambao majukumu yao ya kazi yanawataka kuwepo katika vituo vya kazi kama ambavyo wataelekezwa na viongozi wao"
Ujumbe wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, kuhusu Maadhimisho ya Sikukuu ya Uhuru Desemba 9, 2025, na kuwasilishwa na Waziri mkuu wa Mwigulu Lameck Nchemba.
Muda wa kuzua yuko hoi hospital ya mzena umefikaKwani mwenyewe yuko wapi
Hakuna nchi inaitwa Tanzania bara.Hivi ni uhuru wa Tanganyika ama ni uhuru wa Tanzania bara