PostGE2025 Ujumbe wa Rais Samia kuhusu Maadhimisho ya Sikukuu ya Uhuru Desemba 9, 2025

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Nimepita pale Manzese mishale ya 10:19 AM jua lilikuwa limeshakuwa kali nikamuona mwanajeshi wa JW amesimama halisikii huku ameshikilia bunduki yake amesimama serious kama robot nikasikitka sana.

Wenzao huko wanafanya mambo kwa ajili ya walio wengi (wananchi) lakini wao wameamua wawalinde wachache (watawala) huku nao wakiwa na ndugu maskini vile vile tulivyo wengine.
The same nilikuwa Kariakoo asubuhi wako wote, JW na Police kama kawaida kwenye Mataa pale
 
Nimepita pale Manzese mishale ya 10:19 AM jua lilikuwa limeshakuwa kali nikamuona mwanajeshi wa JW amesimama halisikii huku ameshikilia bunduki yake amesimama serious kama robot nikasikitka sana.

Wenzao huko wanafanya mambo kwa ajili ya walio wengi (wananchi) lakini wao wameamua wawalinde wachache (watawala) huku nao wakiwa na ndugu maskini vile vile tulivyo wengine.

Hukuona siku yamaandamano walivo kuawanafurahi mkiwa wengi, Wanajua kua haya mateso yangekoma baada regime change
 
Kwahiyo ni kesho tu tunatakiwa kuwa nyumbani? Kwa maana kesho kutwa ruksa
 
"Ndugu wananchi Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan anapenda kuwatakia wananchi wote heri ya Sikukuu ya Uhuru wa Tanzania Bara inayoadhimishwa kila mwaka tarehe 9 Desemba, aidha serikali inawashauri wananchi wote ambao tarehe 9 desemba 2025 hawatakuwa na dharura kuitumia siku hiyo kwa mapumziko hivyo kushereheka siku hiyo wakiwa nyumbani isipokuwa kwa wale ambao majukumu yao ya kazi yanawataka kuwepo katika vituo vya kazi kama ambavyo wataelekezwa na viongozi wao"

Ujumbe wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, kuhusu Maadhimisho ya Sikukuu ya Uhuru Desemba 9, 2025, na kuwasilishwa na Waziri mkuu wa Mwigulu Lameck Nchemba.
Hutuna nchi inayoitwa Tanzania bara iliyopata uhuru 1961 labda kama anazungumzia Tanganyika
 
Huyu mtu tunajua yuko mahututi

Raisi ameshindwa kuongea na wabara moja kwa moja?
 
Mbona sura yake inaonekana kama Kuna jambo kubwa analolijua na kujifanya kama Kila kitu Kiko sawa? Nina wasiwasi na Hali ya mama.
 
Umeleta hoja mkuu 🤣
Ila mafia si Zanzibar mkuu ni sehemu ya Tanganyika
Mafia ni wilaya ndani ya mkoa wa Pwani.
Tangu mwaka 1890 Zanzibar udhibitiwe kukisogelea haijawahi kufanya hivyo.
 
Back
Top Bottom