PostGE2025 Ujumbe wa Rais Samia kuhusu Maadhimisho ya Sikukuu ya Uhuru Desemba 9, 2025

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Wamejificha wapi
 
Haya we guys tuambie huyo unayemuita rais amesamehe wafungwa wangapi kwa siku ya kesho? Kwa nini salamu za kesho zitoke leo?


Kwa nini wewe uzitoe kwa niaba yake? Yeye yuko wapi? Amejiandaa kuua watu wangapi kesho kukanilisha idadi ya kafara lake?
 
Nimepita pale Manzese mishale ya 10:19 AM jua lilikuwa limeshakuwa kali nikamuona mwanajeshi wa JW amesimama halisikii huku ameshikilia bunduki yake amesimama serious kama robot nikasikitka sana.

Wenzao huko wanafanya mambo kwa ajili ya walio wengi (wananchi) lakini wao wameamua wawalinde wachache (watawala) huku nao wakiwa na ndugu maskini vile vile tulivyo wengine.
 
Siongezi neno
 

Attachments

  • VID-20251208-WA0019.mp4
    16 MB
Kuna Kuna connection yoyote ya bomu la kurusha nipatiwe
Njoo burundi kwa Mwiguru yanapatikana inategemea unataka la uzito gani na yamegawanyika kuna aina ya nazi,muhindi,kitenesi,Umme wa punda mara nyingi haya unapewa na kufyatua free.

Kwa sasa tunashindwa kutuma kutokana na ushuru wa tanzania.
 
Sema kabisa utaua wangapi
 
 
Hivi ni uhuru wa Tanganyika ama ni uhuru wa Tanzania bara
Hakuna nchi inaitwa Tanzania bara.

Kuna Tanganyika na Zanzibar.

D9 ni uhuru wa tanganyika.

Wazanzibari hawahusiki wao wakae ndani sisi tutatoka nje.

Wao wazanzibari husherehekea mapinduzi yao nasi huwa haya tuhusu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…