PostGE2025 Ujumbe wa Rais Samia kuhusu Maadhimisho ya Sikukuu ya Uhuru Desemba 9, 2025

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Huyu bi chura na gayz wasituletee mapicha picha hatutaki salamu zao

Wote hao ni batili manyamblisi viazi pimbi pumpikin heads

Kesho ni siku ya UHURU.
 

Yeye anailia wapi hiyo SIKUKUU ..... Kizimkazi au Oman kwa WAJOMBA...!!?
 
Tanzania Bara ndio nchi gani hiyo? Nijuavyo 09/12/1961 ndio siku ya uhuru wa Tanganyika. Kumbukizi ya uhuru wa Tanganyika ya mwaka huu ambayo ni kesho, sio hafla ya wanasisiasa kuamua namna ya kuienzi au la..... Watu wakiandamana ni haki yao ya kikatiba.
 
Sherehe ni tarehe 9, lakini salamu zinatolewa asubuhi ya tarehe 8.
Samia Must go
 
NDUGU SAMIA SULUHU amefariki?kwanini asije yeye kutoa salamu hizo?

NGOSHA FEKI SEMA UKWELI
 
Gen Z shikilia hapohapo umesikia wapi uhuru wa tar 9 unatangazwa tar 8 tena na tapeli mkuu mwigulu.
Bila shaka mtandao utazimwa nchini, kutoa taarifa ya uhuru wa tarehe 9 Tarehe 8 inaonekana hakutakuwa na Mtandao tarehe 9 au kuendelea.
Ngoja tusubiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…