PostGE2025 Ujumbe wa Rais Samia kuhusu Maadhimisho ya Sikukuu ya Uhuru Desemba 9, 2025

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
The same nilikuwa Kariakoo asubuhi wako wote, JW na Police kama kawaida kwenye Mataa pale
 

Hukuona siku yamaandamano walivo kuawanafurahi mkiwa wengi, Wanajua kua haya mateso yangekoma baada regime change
 
Kwahiyo ni kesho tu tunatakiwa kuwa nyumbani? Kwa maana kesho kutwa ruksa
 
Hutuna nchi inayoitwa Tanzania bara iliyopata uhuru 1961 labda kama anazungumzia Tanganyika
 
Huyu mtu tunajua yuko mahututi
 
Raisi ameshindwa kuongea na wabara moja kwa moja?
 
Mbona sura yake inaonekana kama Kuna jambo kubwa analolijua na kujifanya kama Kila kitu Kiko sawa? Nina wasiwasi na Hali ya mama.
 
Umeleta hoja mkuu 🤣
Ila mafia si Zanzibar mkuu ni sehemu ya Tanganyika
Mafia ni wilaya ndani ya mkoa wa Pwani.
Tangu mwaka 1890 Zanzibar udhibitiwe kukisogelea haijawahi kufanya hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…