NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
mimi sipajui nyumbani kwenu.Na hiki kilichoshamiri hapa nyumbani je??
Wamempiga Spana ya kufa mtu hadi akatia mkia chini. Kwa Jeuri ya Magu sikutegemea baada ya kuagizwa ajieleze kwa nini amekopa fedha kwa siri na zinatumika kwenye nini.Angekuwa na jeuri Kama unavyodhani angeacha kuwaangukia IMF na WB baada ya kudanganya kuhusu madeni yetu.Magu haendi ulaya na America si kwa kuwa hataki kujikomba but uwezo wake mdogo ndo kikwazo kikubwa.Nae ni binadamu sometimes anaona aibu
Sio ubishi ila ndio data halisi. Na hizo information situngi mm. Zipo. Fanya tu simple research.mkuu embu fatilia basi acha ubishi chama kiliamishwa tangia 2001kuja US.
basi hata kama ikiwa ni london lkn africa tunaweza kukataa kuwa kichwa cha mwendawazimu kwa mabeberu.mfano mzuri wa kuigwa ni rais magufuli.
Sent using Jamii Forums mobile app
napinga wauwaji.ila nashukuru jeshi la polisi liliwafyeka wauwaji woote waliokuwa wameweka kambi kibiti.Hahaa unajifanya mtu kumbe hamna lolote. Unapinga ushoga lakini hupingi wauwaji na watekaji??
Sio kujua nini. Kuweka fact right. Maana niliyemjib hatumii data zilizopo anatumia maneno tu.Mkuu ulikuwa unatafuta nini kote huko, yani ulitaka kujua nini kwenye hizo rekodi!?
Sent using Jamii Forums mobile app
🤣🤣umenielewa vyema.mimi sipajui nyumbani kwenu.
labda ni vibaka tu au majambazi jeshi la polisi liwashughulikia. fuga mbwa apo nyumbani kwenu pia itasadia
kwani wewe upo mkoa gani ?
Sent using Jamii Forums mobile app
wewe nakutilia mashaka sana.maana unafatilia sana na unajua mambo meengi ya mashoga!!!Sio kujua nini. Kuweka fact right. Maana niliyemjib hatumii data zilizopo anatumia maneno tu.
Lazima uwe na data zinazosapoti unachokiandika.
wewe mkorofi sana kwa kweli[emoji1787][emoji1787]umenielewa vyema.
Yawezekana mkuuWamempiga Spana ya kufa mtu hadi akatia mkia chini. Kwa Jeuri ya Magu sikutegemea baada ya kuagizwa ajieleze kwa nini amekopa fedha kwa siri na zinatumika kwenye nini.
Hivi Magu bado ana mawazo kwamba kwa dunia ya leo kuna kitu unaweza kuficha?? Especialy monetary issues??. Naona hawamshauri vizuri. Taasisi zote za kifedha zenye nguvu duniani zinaongozwa na kusimamiwa na Majasusi waliobobea. Huwezi kukopa 6T bila maelezo na ufafanuzi wa kueleweka ukadhani utafumbiwa macho.
Kwanza alitaka azifanyie kazi gani?? Kama ni kuwekeza kwenye SGR mbona mradi unajulikana kwanini alificha?? Tutakuwa sahihi tukisema zile fedha alikuwa anataka kuzikwapua??
sasa mwamba mabomu ya kuwapiga akina nani ?Kwa jinsi navyoijua ccm unaweza kuta zile Tril 6 zilizokopwa kificho na serikali ya ccm ilikuwa kwa ajili ya kununua Mabom ya uchaguzi october 2020[emoji1787][emoji1787]
Wakafie kwao.Wameshafanya risk assessment wameona hatari ya maisha yao wakiwa huku ni kubwa.
Mbona ume surrender mapema haha. Niko kurekebisha na kutoa fact tu. Let me tell you on thing man.. propaganda na uwongo havisaidii.wewe nakutilia mashaka sana.maana unafatilia sana na unajua mambo meengi ya mashoga!!!
basi umeshinda nakupa ushindi na wewe ufurahi
Sent using Jamii Forums mobile app
lazima ni sarenda mimi sina wala sitamani kufatili habari mashoga asee.Mbona ume surrender mapema haha. Niko kurekebisha na kutoa fact tu. Let me tell you on thing man.. propaganda na uwongo havisaidii.
Wako watu wa international relations hapa wanafaham mambo mengi sana.
I am just a person of interest.
Is not about habari za mashoga. Is about upotoshaji unaoufanya.lazima ni sarenda mimi sina wala sitamani kufatili habari mashoga asee.
kulikoni nifatilie habari mashoga bora ni kupe ushindi mapeema.umeshinda bwashee
Sent using Jamii Forums mobile app
ilikuwa ni rahisi kwa mimi kupotosha kwa kuwa sina wala sitathubutu kufatilia taarifa sahihi za mashoga ni zipi.Is not about habari za mashoga. Is about upotoshaji unaoufanya.
Binafsi siwapendi.. na sifagilii matendo yao maana ni chukizo mbele za Mungu.
My interest ww kutumia hiyo point kama political point. While unajua kuwa info inazotumia si sahihi.
Sorry lakin mm ni anti-politics
Horiri ndiyo wapi mkuu???Hao wamarekani sio miungu!
Kuna watu wakisikia neno Marekani basi akili zinapagawa kabisa. Hata huko America wanatunia Oxygen ya bure kama ilivyo kwa wananchi wa Horiri na Buza kwa Mpalanje.
najua wewe ni muwakilishi wa mashoga hapa tanzania.
Wenyewe bado wako shimoni karantini sasa watazungumziaje mambo ya watu tunapata hewa ya mungu? Wasubili mpaka watoke nje mdo waseme.hao watalii wanatoka wapi kama wazungu wenyewe wanatilia msahaka usalama wao wakiwa Tz?
Hawa Wamarekani mkiwa mnawaomba misaada muwe mnaongea lugha hii-hii mnayonena hapa.