Ujumbe wa Tibor Nagy kuja Tanzania kwa namna Serikali inavyolichukulia janga la COVID -19

Ujumbe wa Tibor Nagy kuja Tanzania kwa namna Serikali inavyolichukulia janga la COVID -19

Angekuwa na jeuri Kama unavyodhani angeacha kuwaangukia IMF na WB baada ya kudanganya kuhusu madeni yetu.Magu haendi ulaya na America si kwa kuwa hataki kujikomba but uwezo wake mdogo ndo kikwazo kikubwa.Nae ni binadamu sometimes anaona aibu
Wamempiga Spana ya kufa mtu hadi akatia mkia chini. Kwa Jeuri ya Magu sikutegemea baada ya kuagizwa ajieleze kwa nini amekopa fedha kwa siri na zinatumika kwenye nini.

Hivi Magu bado ana mawazo kwamba kwa dunia ya leo kuna kitu unaweza kuficha?? Especialy monetary issues??. Naona hawamshauri vizuri. Taasisi zote za kifedha zenye nguvu duniani zinaongozwa na kusimamiwa na Majasusi waliobobea. Huwezi kukopa 6T bila maelezo na ufafanuzi wa kueleweka ukadhani utafumbiwa macho.

Kwanza alitaka azifanyie kazi gani?? Kama ni kuwekeza kwenye SGR mbona mradi unajulikana kwanini alificha?? Tutakuwa sahihi tukisema zile fedha alikuwa anataka kuzikwapua??
 
mkuu embu fatilia basi acha ubishi chama kiliamishwa tangia 2001kuja US.

basi hata kama ikiwa ni london lkn africa tunaweza kukataa kuwa kichwa cha mwendawazimu kwa mabeberu.mfano mzuri wa kuigwa ni rais magufuli.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio ubishi ila ndio data halisi. Na hizo information situngi mm. Zipo. Fanya tu simple research.
Kuhusu afrika sijazungumzia lolote kuhusu afrika.
 
Sio kujua nini. Kuweka fact right. Maana niliyemjib hatumii data zilizopo anatumia maneno tu.
Lazima uwe na data zinazosapoti unachokiandika.
wewe nakutilia mashaka sana.maana unafatilia sana na unajua mambo meengi ya mashoga!!!
basi umeshinda nakupa ushindi na wewe ufurahi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wamempiga Spana ya kufa mtu hadi akatia mkia chini. Kwa Jeuri ya Magu sikutegemea baada ya kuagizwa ajieleze kwa nini amekopa fedha kwa siri na zinatumika kwenye nini.

Hivi Magu bado ana mawazo kwamba kwa dunia ya leo kuna kitu unaweza kuficha?? Especialy monetary issues??. Naona hawamshauri vizuri. Taasisi zote za kifedha zenye nguvu duniani zinaongozwa na kusimamiwa na Majasusi waliobobea. Huwezi kukopa 6T bila maelezo na ufafanuzi wa kueleweka ukadhani utafumbiwa macho.

Kwanza alitaka azifanyie kazi gani?? Kama ni kuwekeza kwenye SGR mbona mradi unajulikana kwanini alificha?? Tutakuwa sahihi tukisema zile fedha alikuwa anataka kuzikwapua??
Yawezekana mkuu
 
Kwa jinsi navyoijua ccm unaweza kuta zile Tril 6 zilizokopwa kificho na serikali ya ccm ilikuwa kwa ajili ya kununua Mabom ya uchaguzi october 2020[emoji1787][emoji1787]
sasa mwamba mabomu ya kuwapiga akina nani ?
kama ni chadema ni mitama tu na bakora kama za india zinawatosha.

chadema ina vijana wazembe sana hawawezi ata beba ndoo ya maji.
waliowai sumbua polisi ni wafuasi wa CUF tu.
ila chadema ni wa kubuluza tu kwa mitama.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wewe nakutilia mashaka sana.maana unafatilia sana na unajua mambo meengi ya mashoga!!!
basi umeshinda nakupa ushindi na wewe ufurahi

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona ume surrender mapema haha. Niko kurekebisha na kutoa fact tu. Let me tell you on thing man.. propaganda na uwongo havisaidii.
Wako watu wa international relations hapa wanafaham mambo mengi sana.
I am just a person of interest.
 
Burundi hawana habari na corona na wanawatimua who ila hawaongelewi...ila Tanzania ndio maneno maneno..

Wazungu wanaipendea nini Tanzania? Ama rasilimali
 
Mbona ume surrender mapema haha. Niko kurekebisha na kutoa fact tu. Let me tell you on thing man.. propaganda na uwongo havisaidii.
Wako watu wa international relations hapa wanafaham mambo mengi sana.
I am just a person of interest.
lazima ni sarenda mimi sina wala sitamani kufatili habari mashoga asee.
kulikoni nifatilie habari mashoga bora ni kupe ushindi mapeema.umeshinda bwashee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
lazima ni sarenda mimi sina wala sitamani kufatili habari mashoga asee.
kulikoni nifatilie habari mashoga bora ni kupe ushindi mapeema.umeshinda bwashee

Sent using Jamii Forums mobile app
Is not about habari za mashoga. Is about upotoshaji unaoufanya.
Binafsi siwapendi.. na sifagilii matendo yao maana ni chukizo mbele za Mungu.
My interest ww kutumia hiyo point kama political point. While unajua kuwa info inazotumia si sahihi.

Sorry lakin mm ni anti-politics
 
ilikuwa ni rahisi kwa mimi kupotosha kwa kuwa sina wala sitathubutu kufatilia taarifa sahihi za mashoga ni zipi.

nimeitaja marekani kama kitovu kwa kuwa ipo mstari wa mbele kwenye kupigania ushoga duniani.

alafu na wewe unamapenzi na mashoga kiasi gani mpaka kujua mitandao yao ya habari ?
mi bado namashaka makubwa na wewe!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hao watalii wanatoka wapi kama wazungu wenyewe wanatilia msahaka usalama wao wakiwa Tz?

Hawa Wamarekani mkiwa mnawaomba misaada muwe mnaongea lugha hii-hii mnayonena hapa.
Wenyewe bado wako shimoni karantini sasa watazungumziaje mambo ya watu tunapata hewa ya mungu? Wasubili mpaka watoke nje mdo waseme.
 
Back
Top Bottom