Wamempiga Spana ya kufa mtu hadi akatia mkia chini. Kwa Jeuri ya Magu sikutegemea baada ya kuagizwa ajieleze kwa nini amekopa fedha kwa siri na zinatumika kwenye nini.
Hivi Magu bado ana mawazo kwamba kwa dunia ya leo kuna kitu unaweza kuficha?? Especialy monetary issues??. Naona hawamshauri vizuri. Taasisi zote za kifedha zenye nguvu duniani zinaongozwa na kusimamiwa na Majasusi waliobobea. Huwezi kukopa 6T bila maelezo na ufafanuzi wa kueleweka ukadhani utafumbiwa macho.
Kwanza alitaka azifanyie kazi gani?? Kama ni kuwekeza kwenye SGR mbona mradi unajulikana kwanini alificha?? Tutakuwa sahihi tukisema zile fedha alikuwa anataka kuzikwapua??