Ujumbe wa Tina kwa wanaume wachepukaji

Ujumbe wa Tina kwa wanaume wachepukaji

Haijawahitokea Mchepuko akawa pekee na haitatokea kamwe, kiufupi tu Me huwa tunapenda kufa mapema kabla ya siku zetu kwa kujirundikia mikosi, umaskini kwa kuendekeza tamaa.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Kwa Nini umewataja wanaume peke yao?

Hivi unajua kuwa Wanawake wana michepuko mingi kuliko wanaume?

Katika nchi yenye maskini 75% ya watu wake basi haiwezekani wanaume wengi wakawa na michepuko kuliko Wanawake.
Yaani pakiwa na wanaume wengi maskini basi ujue Kuna wanaume wachache wanaobadilisha wanawake kama nguo. Hivyo basi Wanawake wengi wanachepuka kutokana na ama maisha magumu ya waume wao ambao lishe ni Duni hivo hata nguvu za kiume zinakua Duni au Wanawake wanachepuka kutokana na uwezo wao mkubwa kifedha hivyo wanakua na uwezo wa kuwarubuni Kwa fedha Vijana wasio na kazi. Hapo kiuhalisia ni kwamba Kuna wanaume wachache hasa wenye nguvu ya uchumi na wenye madaraka ambao ndio wanachepuka hasa na wale za watu na Wanawake wasomi waliomaloza vyuo . Wanaume wengi hawana nguvu za kuwa na michepuko kutokana na kukosa nguvu za kipesa kuhonga na nguvu za kiume. Hata mabaa medi kama huna pesa huwezi kumchukua. Ni kundi dogo sana la wanaume wenye majina kwenye midia na madaraka ndio wanawachafua wanaume wengi waadilifu na kuwapa nafasi Wanawake kuficha tabia zao ambazo ama Kwa hakika Kwa Karne hii wamezidi kuchepuka na kutumia miili yao Kwa ajili ya kujipatia fedha za vikoba na vocha . Ndio mana wanaomiliki smartphone Kwa wingi ni Wanawake bila kujali umri.

Wanaume wote wasikubali kupakwa matope kuwa eti kila mwanaume ana mchepuko . Haiwezekani Kwa karine hii mana hakuna mchepuko unaopatika au kumilikiwa na mtu asiye na Fedha au umaarufu.
 
Back
Top Bottom