Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Yaani mama D umengángána haswa.. eti halafu turudi kwa Tina..!!!Basi sema bluu iliyoiva halafu turudi kwa Tina 😅😅
Bantu Lady njoo utie neno huku..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani mama D umengángána haswa.. eti halafu turudi kwa Tina..!!!Basi sema bluu iliyoiva halafu turudi kwa Tina 😅😅
Famchezo nini 😀
Na kweli. Na sisi tukishaona unaleta ujuaji na kuchepuka tunasitisha huduma zote kila mtu ashinde mechi zakeUkiona hivyo kashatendwa huyo sura Beberu.
Mambo ya Ngoswe, muachie Ngoswe mwenyewe.
Rangi mpya[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Navy blue? Kuna rangi inaitwa hivyo kweli? Ni mpya? Tanzania ipo?
Am serious [emoji848]
Tanzania inafika lini? 😅😅Rangi mpya[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji16][emoji16][emoji16] unajaribu kukwepa mada...nimeshakufahamuSawa, huyo Tina kavaaa blauzi rangi gani? [emoji28][emoji28][emoji28]
Mama pastorBluu bahari😅😅😅 ujumbe umeusikia lakini!?
Ni utukufu kwa BwanaHongeraaaa
Hakika AnastahiliYeye peke yake
Hayo mdomoni ameweka kipandi vha muhindi cha 500 ambacho hakijachomwa bado au ni meno tu?Muwe na jioni njema
Kaka mkubwa anasema Interlacustrine R
Mwenye macho na asome na kuelewa
Mwenye maskio na asikie
Kwa Nini umewataja wanaume peke yao?Haijawahitokea Mchepuko akawa pekee na haitatokea kamwe, kiufupi tu Me huwa tunapenda kufa mapema kabla ya siku zetu kwa kujirundikia mikosi, umaskini kwa kuendekeza tamaa.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app