Uzima Tele
JF-Expert Member
- Jan 20, 2023
- 1,559
- 3,586
===============================
Mwenyekiti CHADEMA(T)Tundu Lissu anasema;"....Msikubali kupita njia isiyo na haki. Mimi niko imara na sina shida hapa nilipo! Mimi nikifia humu jela, lakini nyinyi mkakaza, jueni mtawasaidia wananchi wenzetu...."
"......Nikifungwa, mkakaza katika haki bado mtawasaidia wananchi wenzetu.."
".,...Na nikiachiwa, tukakaza wote kwa pamoja, vilevile tutawasaidia wananchi wenzetu..."
".....Lolote kati ya hayo matatu lina faida kwetu kama tusipozimia mioyo. KUWENI IMARA. MSITETEREKE 😭😭😭😭..."
Tundu Lissu, Gerezani Ukonga
=============================
My Personal Opinion:
Hii ndiyo spirit ya kiongozi sahihi na wa kweli. Huyu ndiye kiongozi anayestahili kupewa title ya "mheshimiwa" kwa sababu ni kweli anastahili kuheshimiwa kwa tabia, mwenendo na reputation yake. Viongozi wa namna hii wako wachache sana duniani. Huyu jamaa ni wa kipekee kabisa. Ukisoma au kusikiliza maneno toka ktk kinywa chake, daima yanaingia na kupenya hadi kwenye nafsi na moyoni unaamini na kuelewa kila herufi na nukta ya maneno yake kwa wepesi na kwa urahisi kabisa. Huoni ulaghai wala uongo ktk kila sentensi ya maneno. Hii ni contrary kabisa na viongozi kama kina Mwigulu Nchemba ambao maneno yao ni uongo uongo na ulaghai mtupu unaogoma kabisa kupenya na kuingia ktk fahamu zetu
Ombi langu kwa Mungu wetu, kaka yangu ni hili👇
Mungu akulinde na kukuangazia NURU ya uso wake Mh Tundu Lissu sasa na hata milele. Amina🙏🙏🙏