Ujumbe wa Tundu Lissu kutoka Gereza kuu Ukonga: Msikubali kupita njia isiyo na haki!!

Kaiandika saa ngapi mbona imekuja usiku?
Mpaka wakati ule naikopi toka X-Twitter Account ya Godbless Lema, yalishapita masaa zaidi ya 6 tangu ipostiwe huko

By the way, ziko njia nyingi tu za yeye kutuma ujumbe kutoka ndani ya gereza kuja huku nje ikiwemo kuwatumia hata askari wenyewe na kuufikisha kwa mlengwa.

Kumbuka kuwa, wapo askari magereza wanaomkubali Tundu Lissu huku wengine wakiwa ni wanachama na wapenzi wa CHADEMA kisirisiri ndani ya mioyo yao
 
Hapo sawa umeeleweka
 
View attachment 3510229
===============================​
Mwenyekiti CHADEMA(T)Tundu Lissu anasema;

"....Msikubali kupita njia isiyo na haki. Mimi niko imara na sina shida hapa nilipo! Mimi nikifia humu jela, lakini nyinyi mkakaza, jueni mtawasaidia wananchi wenzetu...."

"......Nikifungwa, mkakaza katika haki bado mtawasaidia wananchi wenzetu.."

".,...Na nikiachiwa, tukakaza wote kwa pamoja, vilevile tutawasaidia wananchi wenzetu..."

".....Lolote kati ya hayo matatu lina faida kwetu kama tusipozimia mioyo. KUWENI IMARA. MSITETEREKE 😭😭😭😭..."

Tundu Lissu, Gerezani Ukonga
=============================

My Personal Opinion:
Hii ndiyo spirit ya kiongozi sahihi na wa kweli. Huyu ndiye kiongozi anayestahili kupewa title ya "mheshimiwa" kwa sababu ni kweli anastahili kuheshimiwa kwa tabia, mwenendo na reputation yake. Viongozi wa namna hii wako wachache sana duniani. Huyu jamaa ni wa kipekee kabisa. Ukisoma au kusikiliza maneno toka ktk kinywa chake, daima yanaingia na kupenya hadi kwenye nafsi na moyoni unaamini na kuelewa kila herufi na nukta ya maneno yake kwa wepesi na kwa urahisi kabisa. Huoni ulaghai wala uongo ktk kila sentensi ya maneno. Hii ni contrary kabisa na viongozi kama kina Mwigulu Nchemba ambao maneno yao ni uongo uongo na ulaghai mtupu unaogoma kabisa kupenya na kuingia ktk fahamu zetu

Ombi langu kwa Mungu wetu, kaka yangu ni hili👇

Mungu akulinde na kukuangazia NURU ya uso wake Mh Tundu Lissu sasa na hata milele. Amina🙏🙏🙏
Tumwombee huyu Mwamba Ndiye Atatupigania kwa Uwezo wa Mola
 
Utatoka tu Rais wetu....

Wewe ni kielelezo cha wapigania haki, Mungu Yehova akulinde na kukurehemu siku zote...

Mungu akupe neema ya uzima. Akukumbatie na kukuficha chini ya uvuli wake ili mikono ya watu wabaya wakiongozwa na Samia isipate nafasi ya kutimiza makusudi yake. Smina🙏🏻🙏🏻
 
Back
Top Bottom