William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,400
mkuu namba B tumeiona hyo embu sasa tuwekee na mjengo
hyo nyumba toka 2012 ipo hapo hapo? le mutuz kumbe wewe ni msanii tu mjini.hyo nyumba madirisha ya alminium hata m 2 haziishi ila umeshindwa kumalizia hapo loh?
Mbona unapanic au na wewe akili zako anazo Mange..?Acha ujinga wewe! Usiseme usichokijua. Mimi namjua Mange na Ninamjua Lepumbus, hawa ni ndugu kabisa. Na Mange huwa anamshauri ndugu yake na ugomvi wao wa kindugu waliuleta mitandanoni .... huna ujualo kaa kimywaaa
hyo nyumba toka 2012 ipo hapo hapo? le mutuz kumbe wewe ni msanii tu mjini.hyo nyumba madirisha ya alminium hata m 2 haziishi ila umeshindwa kumalizia hapo loh?
hyo nyumba ulipewa na wakwe zako kiwanja kwenye sendoff ya mkeo.mkeo kajenga kafikisha hapo malizia basi le mutuz wajukuu utaweka wapi?- ulisema sina nyumba sasa unageuka tena kwa nini haijaisha? hahahahahahahhaa unaona mnarukia rukia wanaume huku na kujisema jinsia zenu kuweni makini mtaumia hahahahahahah
le Mutuz
Kumbe ana nywele kichwanihapa zamani zake akiwa kijana.
hyo nyumba ulipewa na wakwe zako kiwanja kwenye sendoff ya mkeo.mkeo kajenga kafikisha hapo malizia basi le mutuz wajukuu utaweka wapi?
sawa kila la kheri umefikia wapi maana nipo kwenye construction industry nikupe ushauri ?- hapana najenga mpya Mbweni hiyo nataka kuiuza kwa sababu ni nyumba yangu sio yako wala unaowasema sio yao mwenye hati ni mimi ni yangu hahahahahahahahaha
le Mutuz
sawa kila la kheri umefikia wapi maana nipo kwenye construction industry nikupe ushauri ?
ha ha haa mkuu le mutuz unakimbiza ila bati zina kutu mkuu ungepiga hata msauzi tu sidhani kama ungeshindwa kama unakodi boti mkuu iweje nyumba bati ziwe na kutu?hyo nyumba toka 2012 ipo hapo hapo? le mutuz kumbe wewe ni msanii tu mjini.hyo nyumba madirisha ya alminium hata m 2 haziishi ila umeshindwa kumalizia hapo loh?
ha ha haa mkuu le mutuz unakimbiza ila bati zina kutu mkuu ungepiga hata msauzi tu sidhani kama ungeshindwa kama unakodi boti mkuu iweje nyumba bati ziwe na kutu?
na VP hayo madirisha mkuu aluminium moja si laki mbili ? maana kukodi boti sio mchezo mkuu le mutuz, ungekodi bajaji then hela ya kukodi boti ukaweke madirisha au uliogopa mabebez wangekukimbia??
Ana watoto wangapi mpaka sasa ... au ni mzee wa fimbo msakurani ... watoto wa Mama yao
Kwani anaye mke?
poa dear nakutakia kila la kheri ila nawe punguza mashauzi na wabebz wako jamani.ukiitaji kitu njoo pm nitakushauri mafundi wa bongo wezi sana nitakusaidia sana kuminimize cost .- THANKS nichek at atsap 0717618997 anytime napenda ushauri sana U know, hahaha umeona wanapiga piga kelele nikiwa sipo nikija wanakimbia na hoja mfu hahahahahaha
le Mutuz
ahahaaaaa- labda ungesogea kidogo tujariobu tuone kama fimbo ipoje maana mtoto wa kiume kuulizia fimbo za wanaumeusiowajua hahahahaa njoo tujaribu mkuu tuone kama fimbo ipo vipi au?
le Mutuz
bila aibu utamkuta anashindana na mange