Ujumbe wangu kwa wanasiasa wote waislam

Ujumbe wangu kwa wanasiasa wote waislam

Ukanda wa pwani all the way from Tanga to Mtwara wamekomaa na madrasa wakimaliza shughuli kuu mahala pa kazi ni kupigana ma boosher na kutumiana ma popobawa
 
Maisha bora duniani na mwisho kwenda ahera je hii ni akili iliyochoka
Ukanda wa pwani all the way from Tanga to Mtwara wamekomaa na madrasa wakimaliza shughuli kuu mahala pa kazi ni kupigana ma boosher na kutumiana ma popobawa
Moshi na mara wamekomaa na pombe na kuuana . Bora yupi
 
Dini unaijua wewe? Ulimbukeni tu ukiamini kusoma madrasa ndo maadili,mbona wengine wanasoma madrasa wanawaua wenzao bila hatia? Unatuletea story za alifulela olela hapa. Dini kama unaijua ijuwe wewe na sio kutaka Kila mmoja afate unachofanya.Kila mmoja mbingu ataipata mbingu Kwa nafasi yake.
@Evody kamgisha kwani hao marekan pia wamesoma madrasa kipindi wanapiga mabomu palestina na Iran pamoja na kuuwa watoto.??
 
Naomba niwapa darasa kidogo waumini wenzangu wanaisiasa.

Hatujakatazwa kushiriki ktk siasa wala kuwatumikia wananchi kwa njia ya kisiasa.
Siasa ni moja ya kazi binaadam inampatia rizik zake.

1. Watoto kuwapa elimu ya shule na elimu ya dini. Wengi wenu tunawapa watoto elimu ya shule na kuwaacha kutowapa elimu ya dini.

Baada ya kuondoka dunia hii mtoto mwenye dini ndio atakusaidia. Atakuombea dua na atakutolea sadaka ambayo itakuaa na faida kubwa kwako. Mtoto wa shule ukifa tu atakimbilia mali na kuzivuruga. Ukiumwa tu mtoto wa shule bila madrsa atataka ufe atumie mali, huruma hana

2. Kuupa kipaumbele dini yako badala ya siasa. Kuisoma dini yako . Ukifa huzikwi na nyimbo za Chama. Ukifa unazikwa kiislam na dua kwa wingi. Hii inamaana dini ndio kila kitu

MIAISHA YA DUNIA NI MPITO TU. AKHERA NDIO KILA KITU

Sema: Starehe ya dunia ni ndogo, na Akhera ni bora zaidi kwa mwenye kuchamngu...” (Kurani 4:77)

“Na maisha ya dunia si chochote ila ni mchezo na pumbao. Lakini nyumba ya Akhera ni bora zaidi kwa walio mcha Mungu. basi hutaelewa?” (Quran, Al-An'aam: 32)
Wapewe elimu ya bikra 72 na mito ya pombe au vepee
 
Back
Top Bottom