Ndugu zangu Watanzania wenye mapenzi mema na Taifa hili poleni Kwa shughuli za ujenzi wa Taifa.
Ndugu zangu Watanzania hakuna asie juwa katika kipindi cha uchaguzi Raia/wananchi hutumika kama mtaji wakisiasa na ndio maana kila chama hupenda kuonyesha wingi wa hadhira imekwenda shuhudia mikutano yake hata Kwa picha za kupika jikoni.
Mwananchi ndio nguvu ya Mwanasiasa yeyote duniani na ndio maana panapo tokea machafuko mwananchi ndie anaumia while wanasiasa hukaa ktk meza kujadili masilahi Yao huku wakihesabiana watu wanao kufa kama hawatoelewana mapema. Yani Sisi Raia huwa London wa kafara Kwa masilahi ya watu wachache Ambao hata hawatujuwi na kamwe hawatotujuwa.
Ndugu zangu watanzania dalili zinaonyesha uchaguzi wa mwaka huu roho za watanzania masikini zitatumika kuonyeshana ubabe Yani patahitajika ushahidi wa vifo ili mradi Tu ni vya kisiasa. Wapanga hii mipango watakuwa very smart kuhakikisha wao hawausiki ili wafanikishe kile wanajuwa wamekipanga
Ndugu zangu watanzania naomba Kwa unyenjekevu muwaombe hao wanaofoka mithili ya nyoka fira ktk mawindo nadhani mtasikia nakuamini Sisi ni mtaji wa Wana siasa. Hivyo tuzinduke na tusoke alama za nyakati
Sikia lakuambiwa Ila usisubiri kuona mikutano ya wiki inayo Anza 12.10.2020 itakuwa na mvumo mkali Sana hasa vyama vya Fulani. Ndugu zangu angalieni TV Acha kujitoa muhanga utawahishwa Kwa masilahi ya watu wachache. Nawakumbusha kesi ya Akwilina na sisemi Sana Ila akili zakuambiwa changanya na za kwako
Jambo lingine siku ya uchaguzi mwananchi piga Kura Rudi nyumbani kama Wana Linda Kura waambieni viongoz wa chama na familia zao wakalinde ili kikiwanukia watumie fedha za chama kutibiana. Wewe piga Kura Rudi nyumbani nakwambia tena piga Kura Rudi nyumbani.
Matokeo yakitoka wewe Raia shangilia kama chama chako kimeshinda kama hakijashinda tafadhali usidanganyike kuingia barabarani kumbuka wewe ni mtaji kifo chako ni ulaji Kwa mwanasiasa. Kataa Kuwa sadaka ya mwanasiasa kama anashida aende mahakamani wasituchoshe.
Yapo tusioyajuwa Ila tarehe 28.10.2020 mtanielewa japo Kwa uchache. Asante