Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Amini nakwambia wewe ndo hutaamini kitakachotokea iyo tarehe 1. Nipo Tanzania na sasa nipo Kalambo, Magharibi mwa Tanzania.Wewe jamaa nakuhakikishia tarehe 1 November lazima uokote makopo. Nimekuja kugundua aidha una matatizo ya akili au haupo Tanzania na huijui Tanzania na watanzania. Hakuna wa kukinukisha bongo nyote mnaandamana humu nyuma ya keyboards.
Acha mimi ndo nikushauri wewe utembee tanzania mikoa ya Nyanda za juu kusini, Magharibi mwa Tanzania bila kusahau Mikoa ya Kusini, pamoja na Kagera, Mwanza na Mara. Hapo sijaweka Manyara, kilimanjaro na Arusha alafu sikiliza watu wanavyosema juu ya wanachopanga kumfanya huyo magufuli wako!!
Kataa kubali,Inyeshe mvua, liwake jua, hakuna namna magufuli wako atashinda uchaguzi wa mwaka huu!!