Haturudi nyuma.mbona manasema turudi nyumbani kwani kuna nini. Sheria inasema tulinde kura mita 200.Kikinuka Na Wewe utaingia BARABARANI Au utakuja hapa JAMII FORUM kutukana !??
Sawa Sawa Mkuu Nakutakia Kila la kheri kwenye Maandamano yenu Maana yatakuwep Sababu hamtapitaHaturudi nyuma.mbona manasema turudi nyumbani kwani kuna nini. Sheria inasema tulinde kura mita 200.
Wale madiwani wa CHADEMA waliomuua ulUVCCM iringa saivi wanajuta walichofanya sababu Lissu na Msigwa hawawatambui, watafia jela na familia zao zikifa njaaMnajaribu kuwatia watu hofu kwa faida ya Nani? Wananchi ndio wenye Nchi, mmeshakosa mvuto, mmechokwa kwanini mlazimishe madaraka? Ccm imeua wangapi mpk hapo ilipo Leo uongee Huu ujinga? Mnahofu gani?...Si hua mnasema hii Nchi haikabidhiwi kwa makaratasi? Tulieni tulieni ccm
Huu ujinga mnatoaga wapi. Kwani wakati Mbowe na sugu wamefungwa jela kuna mwanachama wa CHADEMA alilala ndani? Why ikiwa other way round mnadai ni kwa maslahi yao.Wale madiwani wa chadema waliomuua uvccm iringa saivi wanajuta walichofanya sababu sio Lissu sio msigwa anawatambua, watafia jela na familia zao zikifa njaa
Huku Lissu wanae wapo ulaya wanakula maisha na yeye October lazima arudi nyumbani kwake ulaya
Sio mbaya wachache tukiumia ili nchi, taifa na wengi waponeSawa Sawa Mkuu Nakutakia Kila la kheri kwenye Maandamano yenu Maana yatakuwep Sababu hamtapita
Ukivunjika Miguu, Ukipofuka Macho, Uki vunjika mikono.
Usisahau kuja kutuambia na Tutakujibu "Pole Sana" [emoji38][emoji28]
Heheee kwanza Lissu mmeshampeleka segerea kama mlivyo ahidi?? Vipi mmeshakosa target tena??Sawa Sawa Mkuu Nakutakia Kila la kheri kwenye Maandamano yenu Maana yatakuwep Sababu hamtapita
Ukivunjika Miguu, Ukipofuka Macho, Uki vunjika mikono.
Usisahau kuja kutuambia na Tutakujibu "Pole Sana" [emoji38][emoji28]
Naongelea average person, Mbowe na Sugu wao walikuwa jela lakini mishahara yao na biashara zao zinaingiza millions daily na hata familia zao na maisha yao huko jela sio sawa na mlalahoi anaekamuliwa buku 2 kila leo na LissuHuu ujinga mnatoaga wapi. Kwani wakati Mbowe na sugu wamefungwa jela kuna mwanachama wa CHADEMA alilala ndani? Why ikiwa other way round mnadai ni kwa maslahi yao.
Kura ni ya mwananchi sio ya Mbowe au Lissu so issue ya kuingia barabarani ni ya mwananchi kudai haki yake ya kuchagua kuheshimiwa sio kumpa maslahi Mbowe. Maana kma madhila kuna mCHADEMA kapata madhila level ya Lissu au Mbowe?
Tuache selfish minds za kujiangalia wenyewe otherwise Nyerere angekubali post serikali ya kikoloni ale bata
Wale madiwani wa chadema waliomuua uvccm iringa saivi wanajuta walichofanya sababu sio Lissu sio msigwa anawatambua, watafia jela na familia zao zikifa njaa
Huku Lissu wanae wapo ulaya wanakula maisha na yeye October lazima arudi nyumbani kwake ulaya
Wewe jamaa nakuhakikishia tarehe 1 November lazima uokote makopo. Nimekuja kugundua aidha una matatizo ya akili au haupo Tanzania na huijui Tanzania na watanzania. Hakuna wa kukinukisha bongo nyote mnaandamana humu nyuma ya keyboards.Sio mbaya wachache tukiumia ili nchi, taifa na wengi wapone
Uhuru upi huo?Wapigania Uhuru wangekuwa na akili kama zako wala tusinge kuwa huru fanyeni uchaguzi uwe huru muone nani ataleta vulugu na nchi hii vurugu itakuja letwa na ccm
Bora umewatolea uvivu hawa Mataga wachumia tumbo wa Lumumba,wanadhani kura ni hisani ya NEC,Polisi na CCM. Haya mawazo ya kijima Mwaka huu ndio yatakuwa mwisho wake.Huu ujinga mnatoaga wapi. Kwani wakati Mbowe na sugu wamefungwa jela kuna mwanachama wa CHADEMA alilala ndani? Why ikiwa other way round mnadai ni kwa maslahi yao.
Kura ni ya mwananchi sio ya Mbowe au Lissu so issue ya kuingia barabarani ni ya mwananchi kudai haki yake ya kuchagua kuheshimiwa sio kumpa maslahi Mbowe. Maana kma madhila kuna mCHADEMA kapata madhila level ya Lissu au Mbowe?
Tuache selfish minds za kujiangalia wenyewe otherwise Nyerere angekubali post serikali ya kikoloni ale bata
Naona mnaishi kwa mazoea, Mwaka huu ndio mtajua kuwa hamjui.Wewe jamaa nakuhakikishia tarehe 1 November lazima uokote makopo. Nimekuja kugundua aidha una matatizo ya akili au haupo Tanzania na huijui Tanzania na watanzania. Hakuna wa kukinukisha bongo nyote mnaandamana humu nyuma ya keyboards.
Kama mkulima na mzalishaji wa mazao nitaweza kuuza mazao yangu popote penye bei Nzuri sio saivi nakatazwa kuuza mazao yangu niliyoyalima kwa jasho kubwa sehemu zenuw bei Nzuri na nalazimishwa kuyauza Chama cha UshirikaUhuru upi huo?
Leo Lissu akiwa Rais nini utapata moja kwa moja kutoka mikononi mwake?
Hakuna chochote, Lissu atatimiza makubaliano na mabeberu kutaifisha rasilimali zote, wananchi mtaambiwa fanyeni kazi kwa bidii mlipe kodi muendeshe maisha yenu binafsi na mgharamie serikali
Hakuna chochote cha ziada.