Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
Amini nakwambia wewe ndo hutaamini kitakachotokea iyo tarehe 1. Nipo Tanzania na sasa nipo Kalambo, Magharibi mwa Tanzania.Wewe jamaa nakuhakikishia tarehe 1 November lazima uokote makopo. Nimekuja kugundua aidha una matatizo ya akili au haupo Tanzania na huijui Tanzania na watanzania. Hakuna wa kukinukisha bongo nyote mnaandamana humu nyuma ya keyboards.
Wanataka wapiga kura warudi nyumbani wapate nafasi ya kuiba kura na kuleta vituoni maboksi yaliojazwa kura feki za kuipa ccm ushindi bandiaHaturudi nyuma.mbona manasema turudi nyumbani kwani kuna nini. Sheria inasema tulinde kura mita 200.
Eeh ndio wanakuja na lugha za huruma hapa.Wanataka wapiga kura warudi nyumbani wapate nafasi ya kuiba kura na kuleta vituoni maboksi yaliojazwa kura feki za kuipa ccm ushindi bandia
Unaota na upeo wako wa kufikiri na kuona mbali upo chini sana. Hata hiyo mikoa yote uliyoitaja impigie kura Lissu, nakuhakikishia hawezi kuwa Raisi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania.. NEVER. Sio 2020 bali kamwe. Ni rahisi Steve Nyerere kuwa Waziri mkuu kuliko Tundu Lissu kuwa Raisi wa Tanzania. Bado siku 21 tu, Stay tuned.Amini nakwambia wewe ndo hutaamini kitakachotokea iyo tarehe 1. Nipo Tanzania na sasa nipo Kalambo, Magharibi mwa Tanzania.
Acha mimi ndo nikushauri wewe utembee tanzania mikoa ya Nyanda za juu kusini, Magharibi mwa Tanzania bila kusahau Mikoa ya Kusini, pamoja na Kagera, Mwanza na Mara. Hapo sijaweka Manyara, kilimanjaro na Arusha alafu sikiliza watu wanavyosema juu ya wanachopanga kumfanya huyo magufuli wako!!
Kataa kubali,Inyeshe mvua, liwake jua, hakuna namna magufuli wako atashinda uchaguzi wa mwaka huu!!
Nakushauri tu. Anzisha poll humu kati ya Lissu na Magufuli. Akishinda Magufuli nakuja na Verified idUnaota... na upeo wako wa kufikiri na kuona mbali upo chini sana. Hata hiyo mikoa yote uliyoitaja impigie kura Lissu, nakuhakikishia hawezi kuwa Raisi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania.. NEVER. Sio 2020 bali kamwe. Ni rahisi Steve Nyerere kuwa Waziri mkuu kuliko Tundu Lissu kuwa Raisi wa Tanzania. Bado siku 21 tu, Stay tuned.
Nakushauri tu. Anzisha poll humu kati ya Lissu na Magufuli. Akishinda Magufuli nakuja na Verified id
Hawezi kuthubutu hicho kitu,ccm na poll wapi na wapi! Wamejificha kwenye Policeccm, Tissuvccm.Necccm.Mbali na hapo hawana ujanja.Nakushauri tu. Anzisha poll humu kati ya Lissu na Magufuli. Akishinda Magufuli nakuja na Verified id
Kwani jf wako wakenya wasiopiga kura??? Unajua kuwa Tanzania ndo nchi inayoongoza Africa mashariki kwa matumizi ya mitandao????Ndo maana nikakwambia huna akili. Sehemu zote sababu zinakusababisha ushupaze shingo kuamini Lissu atashinda uraisi ni za kitoto na kipumbavu. Eti kura JF!??,..humu JF, FB, Twitter, Instagram nk Lissu ni 92% na JPM 8% , Ila nakuhakikishia Tundu Lissu hawezi kuwa Raisi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania.. NEVER. Sio 2020 bali kamwe. Ni rahisi Steve Nyerere kuwa Waziri mkuu kuliko Tundu Lissu kuwa Raisi wa Tanzania. Huwezi kunielewa sababu huna akili. Endelea kushupaza shingo sio siku nyingi utanielewa, hii ni Tanzania, sio Malawi wala Zambia.
Hata huko tiss naskia hakueleweki wanamnawa mtu maana hawataki ushenzi na ubaguzi.Hawezi kuthubutu hicho kitu,ccm na poll wapi na wapi! Wamejificha kwenye Policeccm, Tissuvccm.Necccm.Mbali na hapo hawana ujanja.
Wewe jamaa nakuhakikishia tarehe 1 November lazima uokote makopo. Nimekuja kugundua aidha una matatizo ya akili au haupo Tanzania na huijui Tanzania na watanzania. Hakuna wa kukinukisha bongo nyote mnaandamana humu nyuma ya keyboards.
[/QUOTE
Unakumbuka ile poll ya TWAWEZA, na mlichomfanya mkurugenzi wa hiyo taasisi baada ya kutoa matokeo ya kweli?Ndo maana nikakwambia huna akili. Sehemu zote sababu zinakusababisha ushupaze shingo kuamini Lissu atashinda uraisi ni za kitoto na kipumbavu. Eti kura JF!??,..humu JF, FB, Twitter, Instagram nk Lissu ni 92% na JPM 8% , Ila nakuhakikishia Tundu Lissu hawezi kuwa Raisi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania.. NEVER. Sio 2020 bali kamwe. Ni rahisi Steve Nyerere kuwa Waziri mkuu kuliko Tundu Lissu kuwa Raisi wa Tanzania. Huwezi kunielewa sababu huna akili. Endelea kushupaza shingo sio siku nyingi utanielewa, hii ni Tanzania, sio Malawi wala Zambia.
Una guaranteed gani Na huyo LISSU kwamba ndio ataponesha Nchi ?Sio mbaya wachache tukiumia ili nchi, taifa na wengi wapone
Bashiru kila akiongea huwa anatoa boko,ona hapo katoa boko.Kwani jf wako wakenya wasiopiga kura??? Unajua kuwa Tanzania ndo nchi inayoongoza Africa mashariki kwa matumizi ya mitandao????
Kwa iyo Leo hii kwenye mitandao Kuna watanzania wa vijijini na mijini. Hivyo poll yeyote ya kwenye mitandao sio ya kudharau!!!!
Acha nikupe Siri we kilaza wa Lumumba, Magufuli kakataliwa na wafanyakazi, wafanyabiashara, wakulima na hata vijana.
Haya sio maneno yangu mimi tu!! Katibu Mkuu wako kalalamika leo huko Zenji, angalia hapaView attachment 1591600
Haki haijawahi kuja kwa njia rahisi huwa inakuja kwa baadhi ya watu kuumia kufa na hata kufungwa magereza yenye manyanyaso makali, kwa hiyo ndugu yangu hilo wala haliwezi kuwazuia watu kufanya jambo lao,hasa katika kudai haki,Wale madiwani wa CHADEMA waliomuua ulUVCCM iringa saivi wanajuta walichofanya sababu Lissu na Msigwa hawawatambui, watafia jela na familia zao zikifa njaa
Huku Lissu wanae wapo ulaya wanakula maisha na yeye October lazima arudi nyumbani kwake ulaya
Sielewi hata hoja yako ni nini. Kwamba masikini asiingie barabarani kudai haki yake ila awaachie kina Mbowe sababu wana pesa?Naongelea average person, Mbowe na Sugu wao walikuwa jela lakini mishahara yao na biashara zao zinaingiza millions daily na hata familia zao na maisha yao huko jela sio sawa na mlalahoi anaekamuliwa buku 2 kila leo na Lissu
Mtu kama mdude anaozea jela na hakuna kiongozi yeyote wa chadema anaetaka kumsikia tena, ni funzo kwa wenye akili nyepesi wamejazwa upepo mitandaoni wanafikiri ubovu wa maisha yao ni mwanasiasa atauondoa kitu ambacho hakipo duniani
Hakuna mwanasiasa wa kukuwekea pes mfukoni na hakuna mwanasiasa wa kuku fikiria pindi umeingia kwenye matatizo ya kumpigania aingie ikulu.